• Dadi ndiye mchuma riziki-yeye ni muuza samaki na apatacho kinatumiwa kuilisha jamaa yake. Pesa za mkewe ni za kununua fasheni mpya mpya na mapambo.
• Dadi anasaidia kazi za nyumbani lakini mkewe Kidawa hatosheki na hayo.
• Kidawa hakubali kuwa mwanamume kazi ni za nje si za ndani na kuwa Dadi kufanya kazi za ndani ni hisani tu. Uk 60.
• Dadi analazimika kushika shughuli za upishi kama vile kukuna nazi na kutia mboga tui.
• Dadi anaosha nyumba, kufagia, kufua na hata kupiga nguo pasi.
• Wanandoa kujiwekea masharti ya uzazi. Wanahiari kumzaa mtoto mmoja tu kutokana na athari za usasa.
• Dadi hataki mkewe atembeze bidhaa za kuwauzia wateja. Kila mara mkewe anapofanya hivyo, anaumia sana. Anaiona hiyo kama fursa ya mkewe kuhusiana na wanaume wengine . Uk 61.
• Dadi anaona ugumu wa masharti ya mkewe katika maisha ya ndoa lakini anashinda kumweleza.
• Licha ya kuwa Dadi aliona ugumu wa kuzingatia masharti aliyowekewa na mkewe, hangeyavunja. Angefanya hivyo ndoa yao ingevunjika na huko kungekuwa ni kumvunja yeye pia.
• Dadi kushuku mkewe ana uhusiano wa kimapenzi na mwalimu mkuu. Hali hiyo inampa wasiwasi sana hata anashindwa kula.
• Kila mara Dadi alitarajiwa kuwa baada ya kula angeviondoa vyombo mezani na hata kuvisafisha.
• Dadi anapoamua kuzua mpango wa kupeleleza uhusiano wa mkewe na mwalimu mkuu, anafumaniwa na watu akiwa amepanda apipu na anaagnuka na kuumia vibaya sana jambo linalomshutua sana mkewe pamoja na mwalimu mkuu anayelazimika kumwitia ambulensi impeleka hospitalini
Kavungya answered the question on May 6, 2019 at 08:01
- “Mame Bakari”
Kwa mujibu wa hadithi hii, ubahaimu anaotendewa mwanamke unakuwa na athari mbaya kwake. Onyesha kwa mifano mwafaka.(Solved)
“Mame Bakari”
Kwa mujibu wa hadithi hii, ubahaimu anaotendewa mwanamke unakuwa na athari mbaya kwake. Onyesha kwa mifano mwafaka.
Date posted: May 6, 2019. Answers (1)
- “Ndugu yangu kula kunatumaliza”
“Kunatumaliza au tunakumaliza”
a) Eleza muktadha wa dondoo hili.
b) Fafanua maana ya kitamthali katika kauli ‘kula tunakumaliza’
c) Kwa mujibu wa hadithi hii, nbi...(Solved)
“Ndugu yangu kula kunatumaliza”
“Kunatumaliza au tunakumaliza”
a) Eleza muktadha wa dondoo hili.
b) Fafanua maana ya kitamthali katika kauli ‘kula tunakumaliza’
c) Kwa mujibu wa hadithi hii, nbi kwa namna gani wasemaji wanadai kula kunawamaliza?
Date posted: May 6, 2019. Answers (1)
- Jadili maudhui ya usaliti katika hadithi ,’Mapenzi ya kifaurongo’ na ‘Mame Bakari.(Solved)
Jadili maudhui ya usaliti katika hadithi ,’Mapenzi ya kifaurongo’ na ‘Mame Bakari.
Date posted: May 6, 2019. Answers (1)
- “ Naapa na mola wangu sitofanya tena biashara hii.”
a. Eleza muktadha wa dondoo hili
b. Tathmini umuhimu wa mzungumzaji
c. “Biashara inayorejelewa ilikuwa na athari basi kwa...(Solved)
“ Naapa na mola wangu sitofanya tena biashara hii.”
a. Eleza muktadha wa dondoo hili
b. Tathmini umuhimu wa mzungumzaji
c. “Biashara inayorejelewa ilikuwa na athari basi kwa jamii.” Huku ukirejelea hadithi hii,thibitisha ukweli wa kauli hii kwa hoja kumi.
Date posted: May 6, 2019. Answers (1)
- Thibitisha kuwa ulitima ni kati ya maudhui ya hadithi ya mkubwa.(Solved)
Thibitisha kuwa ulitima ni kati ya maudhui ya hadithi ya mkubwa.
Date posted: May 6, 2019. Answers (1)
- Mhini na mhiniwa njia yao moja. Jadili ukweli wa methali hii ukirejelea hadithi ya mkubwa(Solved)
Mhini na mhiniwa njia yao moja. Jadili ukweli wa methali hii ukirejelea hadithi ya mkubwa
Date posted: May 6, 2019. Answers (1)
- Kwetu tunapigania mikono ielekee vinywani. Mzoea vya sahani, vya vigae haviwezii”
a) Eleza muktadha wa dondoo hili
b) Taja tamathali mbili za usemi zinazojitokeza katika dondoo hili
c)...(Solved)
Kwetu tunapigania mikono ielekee vinywani. Mzoea vya sahani, vya vigae haviwezii”
a) Eleza muktadha wa dondoo hili
b) Taja tamathali mbili za usemi zinazojitokeza katika dondoo hili
c) Fafanua sifa za msemaji
d) Jadili maudhui ya utabaka ukjirejelea hadithi husika.
Date posted: May 6, 2019. Answers (1)
- Kwa kurejelea hadithi zozote tano katika ‘Tumbo lisiloshiba na Hadithi nyingine’, fafanua maudhui ya utabaka.(Solved)
Kwa kurejelea hadithi zozote tano katika ‘Tumbo lisiloshiba na Hadithi nyingine’, fafanua maudhui ya utabaka.
Date posted: May 6, 2019. Answers (1)
- Huku ukirejelea hadithi za:
i) Mapenzi ya kifaurongo
ii) Shogake dada ana ndevu
iii) Mame Bakari
Fafanua maudhui ya mapenzi kama yanavyosawiriwa.(Solved)
Huku ukirejelea hadithi za:
i) Mapenzi ya kifaurongo
ii) Shogake dada ana ndevu
iii) Mame Bakari
Fafanua maudhui ya mapenzi kama yanavyosawiriwa.
Date posted: May 6, 2019. Answers (1)
- Fafanua sifa kumi za mzee Mago katika hadithi ya tumbo lisiloshiba.(Solved)
Fafanua sifa kumi za mzee Mago katika hadithi ya tumbo lisiloshiba.
Date posted: May 6, 2019. Answers (1)
- Anwani ya hadithi TUMBO LISILOSHIBA ni mwafaka kwa hadithi hii. Fafanua(Solved)
Anwani ya hadithi TUMBO LISILOSHIBA ni mwafaka kwa hadithi hii. Fafanua
Date posted: May 6, 2019. Answers (1)
- Kwa kurejelea hadithi ya Tumbo Lisiloshiba na ya Mapenzi ya Kifaurongo, fafanua maudhui ya utabaka.(Solved)
Kwa kurejelea hadithi ya Tumbo Lisiloshiba na ya Mapenzi ya Kifaurongo, fafanua maudhui ya utabaka.
Date posted: May 6, 2019. Answers (1)
- ‘’Acha nijiondelee duniani niwaachie wafanisi wafanikiwe.”
a) Eleza muktadha wa dondoo hili
b) Fafanua sifa za mhusika katika dondoo hili.
c) Fafanua mbinu zozote nne za kifani katika...(Solved)
‘’Acha nijiondelee duniani niwaachie wafanisi wafanikiwe.”
a) Eleza muktadha wa dondoo hili
b) Fafanua sifa za mhusika katika dondoo hili.
c) Fafanua mbinu zozote nne za kifani katika hadithi hii.
Date posted: May 6, 2019. Answers (1)
- ‘Shogake dada ana ndevu’ Safia
Eleza sifa za wahusika wafuatao.
i) Mwalimu Musi
ii) Jairo
iii) Sera
iv) Mke wa Jairo(Solved)
‘Shogake dada ana ndevu’ Safia
Eleza sifa za wahusika wafuatao.
i) Mwalimu Musi
ii) Jairo
iii) Sera
iv) Mke wa Jairo
Date posted: May 6, 2019. Answers (1)
- Huku ukirejelea diwani ya Tumbo lisiloshiba fafanua matatizo yanayokumba vijana katika jamii(Solved)
Huku ukirejelea diwani ya Tumbo lisiloshiba fafanua matatizo yanayokumba vijana katika jamii
Date posted: May 6, 2019. Answers (1)
- Ilikuwa kama vile katia saini ya kutiwa kitanzi bila ya kutambua vipengele vya sheria za utiaji huo wa kitanzi.
a)Fafanua tamathali mbili zilizotumika katika dondoo.
b)Jadili vipengele...(Solved)
Ilikuwa kama vile katia saini ya kutiwa kitanzi bila ya kutambua vipengele vya sheria za utiaji huo wa kitanzi.
a)Fafanua tamathali mbili zilizotumika katika dondoo.
b)Jadili vipengele vitano vya sheria zinazorejelewa katika hadithi nzima.
c)Onyesha dhiki iliyompata mrejelewa kwa kukosa kivitambua vipengele hivyo.
Date posted: May 6, 2019. Answers (1)
- Kwa kuzingatia hadithi zozote tano eleza uozo wa jamii kama unavyojitokeza katika tumbo lisiloshiba (Diwani)(Solved)
Kwa kuzingatia hadithi zozote tano eleza uozo wa jamii kama unavyojitokeza katika tumbo lisiloshiba (Diwani)
Date posted: May 6, 2019. Answers (1)
- “Kesho panapo majaaliwa. Kesho kama sote tutaamka…….. kama tutafungua milango ya nyumba zetu zinazosimamia juu ya ardhi hii adhimu…”
a Eleza muktadha wa dondoo hili
b Eleza...(Solved)
“Kesho panapo majaaliwa. Kesho kama sote tutaamka…….. kama tutafungua milango ya nyumba zetu zinazosimamia juu ya ardhi hii adhimu…”
a Eleza muktadha wa dondoo hili
b Eleza sifa nne za msemaji
c) Taja mbinu zozote mbili za lugha zinazojitokeza katika dondoo hili
d Kwa kurejelea hadithi nzima onyesha namna jamii ya kisasa ina tumbo lisiloshiba
Date posted: May 6, 2019. Answers (1)
- Ukengeushi huzorotesha maendeleo ya kijamii. Jadili kauli hii ukirejelea hadithi ya ‘Mkubwa’.(Solved)
Ukengeushi huzorotesha maendeleo ya kijamii. Jadili kauli hii ukirejelea hadithi ya ‘Mkubwa’.
Date posted: May 6, 2019. Answers (1)
- “Kesho kama sote tutaamka salama……….kama tutafungua milango ya nyumba zetu”….
(a) Eleza muktadha wa dondoo hili
(b) Eleza tamathali mbili za lugha zilizotumiwa katika dondoo hili.
(c) Eleza...(Solved)
“Kesho kama sote tutaamka salama……….kama tutafungua milango ya nyumba zetu”….
(a) Eleza muktadha wa dondoo hili
(b) Eleza tamathali mbili za lugha zilizotumiwa katika dondoo hili.
(c) Eleza sifa sita za msemaji wa maneno haya.
(d) Hadithi hii inaakisi mambo mengi yanayotendeka katika bara la Afrika.
Taja mambo sita
Date posted: May 6, 2019. Answers (1)