Ulezi umewapa wazazi wengi changamoto nyingi. Ukirejelea hadithi ya shogake, dada ana ndevu dhihirisha ukweli wa kauli hii

      

Ulezi umewapa wazazi wengi changamoto nyingi. Ukirejelea hadithi ya shogake, dada ana ndevu dhihirisha ukweli wa kauli hii

  

Answers


Kavungya
– Safia anaonyesha tabia nzurimpaka anasifiwa na wazee wake Bwana Masundi na Bi. Hamida
• Wazazi wa Hamida walielewa fika kuwa kuzaa mwana si kazi, kazi ni kumlea “kuzaa mwana si kazi ni kumuyeleza”
• Wazazi wengine walijalia watoto wao lakini wakawa balaa
• Motto wa Habiba Chechei, mkadi ana vitendo viovu
• Safia alifanya bidii masomo, kuheshimu watu na kuwasaidia wazazi wake kazi za nyumbani
• Wazazi wa Safia waliona rafiki wa Safia lazima awe kama Safia awe na tabia nzuri
• Safia na rafikiye Kimwana wanajifungia chumbani ili kupata wakati mwafaka wa kusoma
• Safia alipoanza kutapika na kunyongonyea, mamake alipomuuliza, Safia alikasirika na kumlaumu mamake
• Babake Safia Masundi aliona Safia hawezi kuwa mjamzito
• Mnuna wake Safia, Lulua alieleza kuwa aliwaona Safia na shogake wamelala na shogake ana udevu
Kavungya answered the question on May 6, 2019 at 08:12


Next: “Hakuchukua muda mrefu, akili zao zilipowaamsha kuwapeleka kwenye maana hasa ya kile kilichokuwa kikitokea ...” a. Eleza muktadha wa dondoo hili b. Fafanua tamathali ya usemi aliyoitumia...
Previous: Fafanua changamoto zinazokabili asasi ya ndoa ukirejelea hadithi ya Masharti ya kisasa

View More Kiswahili Fasihi Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions