Fafanua changamoto zinazokabili asasi ya ndoa ukirejelea hadithi ya Masharti ya kisasa

      

Fafanua changamoto zinazokabili asasi ya ndoa ukirejelea hadithi ya Masharti ya kisasa

  

Answers


Kavungya
• Kwa kuwa Dadi alimpenda kidawa alikubali masharti ya kisasa bila kuyaelewa
• Kidawa kufanya kazi za umetroni kunafanya asimwamini
• Ncha nyingi za maisha zinamfanya Kidawa atembeze bidhaa za uarabuni mitaani jambo lililozidisha shauku ya Dadi
• Dadi alichukia kujipamba kwa Kidawa akiona anafanya hivyo kwa minajili ya mwalimu mkuu
• Dadi pia alichukia namna Kidawa alivyosimama na kuongea na wanaume
• Bi Zuhura alimkejeli Dadi kwa kumtaka amparalie samaki
• Dadi aliogopa kuambiwa kuwa yeye si mwanaume tosha
• Maneno ya watu yalimfanya Dadi aache kusaidia kazi za nyumbani
• Dadi alkimfuata Kidawa hadi shuleni kubaini kama Kidawa alimwendea kinyume na mwalimu mkuu
• Dadi aliwakodolea macho wanawake waliovalia nguo zilizowafika magotini
Kavungya answered the question on May 6, 2019 at 08:13


Next: Ulezi umewapa wazazi wengi changamoto nyingi. Ukirejelea hadithi ya shogake, dada ana ndevu dhihirisha ukweli wa kauli hii
Previous: Fafanua jinsi mwandishi wa ‘Tumbo Lisiloshiba’ alivyotumia kinaya kufanikisha maudhui yake

View More Kiswahili Fasihi Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions