Tumia kitenzi "tafakaru" kama nomino katika sentensi.

      

Tumia kitenzi "tafakaru" kama nomino katika sentensi.

  

Answers


Kavungya
- Kutafakari kwake kulimnufaisha.
- Utafakari huo utamwezesha kupiga hatua kimaendeleo.
- Tafakari zao ndizo zimewafikisha walipo.
Kavungya answered the question on May 7, 2019 at 11:23


Next: a) Copy and complete the given table below to 2 decimal places.
Previous: Ainisha vihusishi katika sentensi ifuatayo: Babu alifika mapema kuliko wote halafu akaondoka.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions