Ainisha vihusishi katika sentensi ifuatayo: Babu alifika mapema kuliko wote halafu akaondoka.

      

Ainisha vihusishi katika sentensi ifuatayo:
Babu alifika mapema kuliko wote halafu akaondoka.

  

Answers


Kavungya
Kuliko - kulinganishi/kiwango Halafu - wakati
Kavungya answered the question on May 7, 2019 at 11:24


Next: Tumia kitenzi "tafakaru" kama nomino katika sentensi.
Previous: Tumia kitenzi "Fa" katika sentensi kuonyesha mazoea.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions