Tunga sentensi hii upya kwa kutumia visawe vya maneno yaliopigwa mstari. Kiambaza kilimuumiza ghulamu alipokuwa akipanda.

      

Tunga sentensi hii upya kwa kutumia visawe vya maneno yaliopigwa
mstari. Kiambaza kilimuumiza ghulamu alipokuwa akipanda.

  

Answers


Kavungya
Ukuta ulimuumiza mvulana alipokuwa akiuparaga
Kavungya answered the question on May 7, 2019 at 11:28


Next: Tumia kitenzi "Fa" katika sentensi kuonyesha mazoea.
Previous: Eleza matumizi mawili ya kiambishi -ji-.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions