Eleza maana mbili zinazojitokeza katika sentensi: Tuiiitwa na baba. Mtendaji ni baba

      

Eleza maana mbili zinazojitokeza katika sentensi: Tuiiitwa na baba.
Mtendaji ni baba

  

Answers


Kavungya
- Mtu mwingine alituita mimi pamoja na baba. Sisi pamoja na baba
- Mimi na mtu mwingine tuliitwa na baba Mimi na watu wengine tuliitwa na
baba.
Kavungya answered the question on May 7, 2019 at 11:32


Next: Akifisha: Shangazi alimwambia mwanawe njoo nikupcleke kwenu jioni mtoto aliuliza kwetu wapi?
Previous: Without using mathematical tables or calculators evaluate:

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions