"Shughuli yetu itakamilika kesho", mama alimwambia mwanaye Juma. (Andika katika usemi wa taarifa).

      

"Shughuli yetu itakamilika kesho", mama alimwambia mwanaye Juma.
(Andika katika usemi wa taarifa).

  

Answers


Kavungya
Mama alimwambia mwanawe/mwanaye Juma kuwa shughuli yao ingekamilika siku ambayo ingefuata.
Kavungya answered the question on May 7, 2019 at 11:40


Next: Using a ruler and a pair of compasses only, construct a trapezium ABCD with AB parallel to DC. AB = 10cm, BC = 5cm, CD =...
Previous: Askari wasipopiga doria wala kushikiana na raia hawatakuwa wametuhakikishia usalama. (yakinisha sentensi hii)

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions