Mwenyewe - kivumishi cha pekee Mkengwe - kivumishi cha sifa Lake -
kivumishi kimilikishi Mengi - kivumishi cha idadi
Kavungya answered the question on May 7, 2019 at 11:42
- Askari wasipopiga doria wala kushikiana na raia hawatakuwa wametuhakikishia usalama. (yakinisha sentensi hii)(Solved)
Askari wasipopiga doria wala kushikiana na raia hawatakuwa wametuhakikishia usalama. (yakinisha sentensi hii)
Date posted: May 7, 2019. Answers (1)
- "Shughuli yetu itakamilika kesho", mama alimwambia mwanaye Juma.
(Andika katika usemi wa taarifa).(Solved)
"Shughuli yetu itakamilika kesho", mama alimwambia mwanaye Juma.
(Andika katika usemi wa taarifa).
Date posted: May 7, 2019. Answers (1)
- Dhihirisha matumizi matatu tofauti ya kimaana yatakayotokea ketenzi
"ona" kikinyambuliwa katika kirai hiki "ona ndoto".(Solved)
Dhihirisha matumizi matatu tofauti ya kimaana yatakayotokea ketenzi
"ona" kikinyambuliwa katika kirai hiki "ona ndoto".
Date posted: May 7, 2019. Answers (1)
- Eleza matumizi ya hali za "ka" na "hu" katika sentensi zifuatazo:
(i) Balozi huja hapa kila mara.
(ii) Mpishi alipika, akapakuwa na akagawa chakula.(Solved)
Eleza matumizi ya hali za "ka" na "hu" katika sentensi zifuatazo:
(i) Balozi huja hapa kila mara.
(ii) Mpishi alipika, akapakuwa na akagawa chakula.
Date posted: May 7, 2019. Answers (1)
- Eleza maana mbili zinazojitokeza katika sentensi: Tuiiitwa na baba.
Mtendaji ni baba(Solved)
Eleza maana mbili zinazojitokeza katika sentensi: Tuiiitwa na baba.
Mtendaji ni baba
Date posted: May 7, 2019. Answers (1)
- Akifisha: Shangazi alimwambia mwanawe njoo nikupcleke kwenu jioni
mtoto aliuliza kwetu wapi?(Solved)
Akifisha: Shangazi alimwambia mwanawe njoo nikupcleke kwenu jioni
mtoto aliuliza kwetu wapi?
Date posted: May 7, 2019. Answers (1)
- Eleza matumizi mawili ya kiambishi -ji-.(Solved)
Eleza matumizi mawili ya kiambishi -ji-.
Date posted: May 7, 2019. Answers (1)
- Tunga sentensi hii upya kwa kutumia visawe vya maneno yaliopigwa
mstari. Kiambaza kilimuumiza ghulamu alipokuwa akipanda.(Solved)
Tunga sentensi hii upya kwa kutumia visawe vya maneno yaliopigwa
mstari. Kiambaza kilimuumiza ghulamu alipokuwa akipanda.
Date posted: May 7, 2019. Answers (1)
- Tumia kitenzi "Fa" katika sentensi kuonyesha mazoea.(Solved)
Tumia kitenzi "Fa" katika sentensi kuonyesha mazoea.
Date posted: May 7, 2019. Answers (1)
- Ainisha vihusishi katika sentensi ifuatayo:
Babu alifika mapema kuliko wote halafu akaondoka.(Solved)
Ainisha vihusishi katika sentensi ifuatayo:
Babu alifika mapema kuliko wote halafu akaondoka.
Date posted: May 7, 2019. Answers (1)
- Tumia kitenzi "tafakaru" kama nomino katika sentensi.(Solved)
Tumia kitenzi "tafakaru" kama nomino katika sentensi.
Date posted: May 7, 2019. Answers (1)
- Andika upya sentensi ifuatayo kwa kutumia viwakilishi badala ya
nomino zilizopigwa mstari.
Mwanamziki ataembelea mji.(Solved)
Andika upya sentensi ifuatayo kwa kutumia viwakilishi badala ya
nomino zilizopigwa mstari.
Mwanamziki ataembelea mji.
Date posted: May 7, 2019. Answers (1)
- Jadili jinsi Mambo yalivyopamba sagamoyo kutokana na mazungumzo Kati ya Hashima na Siti(Solved)
Jadili jinsi Mambo yalivyopamba sagamoyo kutokana na mazungumzo Kati ya Hashima na Siti
Date posted: May 1, 2019. Answers (1)
- Tamthilia; kifo kismani
“Vitisho havitaua ndoto yetu Nyoyo zetu zimechoka. Utawala mbaya”
a) Fafanua muktadha wa dondoo hili
b) Kwa kurejelea dondoo hili eleza sifa mbili za...(Solved)
“Vitisho havitaua ndoto yetu Nyoyo zetu zimechoka. Utawala mbaya”
a) Fafanua muktadha wa dondoo hili
b) Kwa kurejelea dondoo hili eleza sifa mbili za msemaji
Date posted: April 30, 2019. Answers (1)
- Uongozi mbaya unaiathiri pakubwa Sagamoyo. Fafanua(Solved)
Uongozi mbaya unaiathiri pakubwa Sagamoyo. Fafanua
Date posted: April 30, 2019. Answers (1)
- “Kuna heri gani kuonana na kisabaluu huyu uso wa kifuu” (a) Eleza muktadha wa dondoo hili (b) Eleza umuhimu wa mzungumzaji...(Solved)
UTENGANO: SAID. A. MOHAMMED.
4. “Kuna heri gani kuonana na kisabaluu huyu uso wa kifuu”
a) Eleza muktadha wa dondoo hili
b) Eleza umuhimu wa mzungumzaji
Date posted: April 30, 2019. Answers (1)
- Eleza maana ya nahau hizi?(Solved)
Eleza maana ya nahau hizi?
Date posted: April 23, 2019. Answers (1)
- Jadili ufaafu wa jalada la tamthilia ya Kigogo(Solved)
Jadili ufaafu wa jalada la tamthilia ya Kigogo.
Date posted: April 22, 2019. Answers (1)
- Mayai waziri wa maradhi na hadithi nyingine. Adui ya mwanamke ni mwanamke. Eleza kauli hii ukirejelea hadithi ya ngome ya nafsi na uteuzi wa moyoni(Solved)
Mayai waziri wa maradhi na hadithi nyingine.
Adui ya mwanamke ni mwanamke. Eleza kauli hii ukirejelea hadithi ya ngome ya nafsi na uteuzi wa moyoni
Date posted: April 19, 2019. Answers (1)
- Mayai waziri wa maradhi na hadithi nyingine
2. “Karibu ndugu yangu waumini ni kukirimiana tunashukuru, alhamdulilahi sifa zote ni zake Maulana a)Eleza muktadha wa dondoo hili
b)...(Solved)
Mayai waziri wa maradhi na hadithi nyingine
. “Karibu ndugu yangu waumini ni kukirimiana tunashukuru, alhamdulilahi sifa zote ni zake Maulana a)Eleza muktadha wa dondoo hili
b) Wahusika hawa walikirimiana vipi?
c) “Kukirimiana” huko kulikuwa na hasara gani?
Date posted: April 19, 2019. Answers (1)