Eleza dhima mbili ya kiimbo

      

Dhima ya kiimbo

  

Answers


Ochieng
Huonyesha iwapo sentensi ni kauli.
K.m mama amelala.
Huonyesha iwapo sentensi ni amri.
Nipe kitambulisho!
Huonyesha iwapo sentensi ni rai.
Tafadhali nipe kitambulisho.
Huonyesha iwapo sentensi nimshangao.
Mama amelala!
SAW answered the question on May 14, 2019 at 12:45


Next: Describe eight benefits of audit documentation.
Previous: Explain the importance of audit planning.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions