Tunawaitaje watu hawa? (i) Mtu anayebeba mizigo kwa ujira (ii) Mtu anayeshughulikia elemu ya nyota

      

Tunawaitaje watu hawa?
(i) Mtu anayebeba mizigo kwa ujira
(ii) Mtu anayeshughulikia elemu ya nyota

  

Answers


Kavungya
(i) hamali/mchkuzi/ mpagazi
(ii) Mnajimu/ majusi
Kavungya answered the question on June 27, 2019 at 10:19


Next: Sahihisha sentensi hizi: (i) Bahasha ilionunuliwa jana ni kubwa na mzuri (ii) Mananasi hizi zinauzwa ghali kwa sababu zimeiva vizuri sana
Previous: Taja methali inayoafikiana na maelezo haya: i) Wengine wanapoozana na kugombana, kunao wanaofurahia kabisa hali hiyo. ii) Afadhali kuhudhuria huo mkutano hata kama umechelewa

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions