Taja methali inayoafikiana na maelezo haya: i) Wengine wanapoozana na kugombana, kunao wanaofurahia kabisa hali hiyo. ii) Afadhali kuhudhuria huo mkutano hata kama umechelewa

      

Taja methali inayoafikiana na maelezo haya:
i) Wengine wanapoozana na kugombana, kunao
wanaofurahia kabisa hali hiyo.
ii) Afadhali kuhudhuria huo mkutano hata kama umechelewa

  

Answers


Kavungya
(i) Vita vya panzi neema ya kunguru
(ii) Kawia ufike
Kavungya answered the question on June 27, 2019 at 10:21


Next: Tunawaitaje watu hawa? (i) Mtu anayebeba mizigo kwa ujira (ii) Mtu anayeshughulikia elemu ya nyota
Previous: Tunga sentensi tatu zikionyesha maana tatu za neno chungu.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions