Tunga sentensi tatu zikionyesha maana tatu za neno chungu.

      

Tunga sentensi tatu zikionyesha maana tatu za neno chungu.

  

Answers


Kavungya
Chakula kimemwagika chungu nzima
Fundu la vitu/ idadi
Mdudu mdogo mweusi
Kali- kinyume cha tamu
Pele- uvimbe mwilini/ chunusi
Kavungya answered the question on June 27, 2019 at 10:23


Next: Taja methali inayoafikiana na maelezo haya: i) Wengine wanapoozana na kugombana, kunao wanaofurahia kabisa hali hiyo. ii) Afadhali kuhudhuria huo mkutano hata kama umechelewa
Previous: Kamilisha: i) Bumba la …………………….. ii) Genge la……………………..

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions