Kamilisha: i) Bumba la …………………….. ii) Genge la……………………..

      

Kamilisha:
i) Bumba la ……………………..
ii) Genge la……………………..

  

Answers


Kavungya
(i) Bumba la – nguo / nyuki/ karatasi/ noti
(ii) Genge la – wezi/ vibarua/ wakora
Kavungya answered the question on June 27, 2019 at 10:24


Next: Tunga sentensi tatu zikionyesha maana tatu za neno chungu.
Previous: Eleza maana ya: i) Juhudi zake hizo si chochote bali ni kutapatapa kwa mfamaji ii) Leo kapasua yote, hata mtama kamwagia kuku.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions