Eleza maana ya: i) Juhudi zake hizo si chochote bali ni kutapatapa kwa mfamaji ii) Leo kapasua yote, hata mtama kamwagia kuku.

      

Eleza maana ya:
i) Juhudi zake hizo si chochote bali ni kutapatapa kwa mfamaji
ii) Leo kapasua yote, hata mtama kamwagia kuku.

  

Answers


Kavungya
(i) Hatafaulu/ hatafanikiwa/ hatafua dafu/ kula mwande
(ii) Kutoboa siri/ fichua siri/ fukua siri
Kavungya answered the question on June 27, 2019 at 10:26


Next: Kamilisha: i) Bumba la …………………….. ii) Genge la……………………..
Previous: Soma makala afuatayo kisha ujibu maswali yanafuata. Katika falme ya Pate ya enzi za kale, kulikuwa n binti Sultani aliyeitwa Mwanakishwira. Alipopata umri wa miaka kumi na...

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions