Tunga sentensi sahihi ukidhihirisha wingi wa majina yafuatayo: i) Ukanda i) Uzee

      

Tunga sentensi sahihi ukidhihirisha wingi wa majina yafuatayo:
i) Ukanda
i) Uzee

  

Answers


Kavungya
(i) Ukanda
(a) Uzi au mshipi/ eneo ama sehemu Fulani/ wingi wake ni kanda
(ii) Uzee
Hauna wingi wa uzee tu
Kavungya answered the question on June 27, 2019 at 10:42


Next: Andika ukubwa wa Mwizi aliiba kikapu na ngo’mbe
Previous: Sahihisha sentensi zifuatazo bila kugeuza maana i) Kikombe chenye kimevunjika ni kipya ii) Nimepeana kitabu kwa mwalimu mkuu

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions