Andika sentensi zifuatazo katika hali ya kutendewa i) Yule Ngo’mbe alizaa ndama mkubwa jana ii) Mavu hawa wamemsumbua Nyatogo kwa mda mrefu.

      

Andika sentensi zifuatazo katika hali ya kutendewa
i) Yule Ngo’mbe alizaa ndama mkubwa jana
ii) Mavu hawa wamemsumbua Nyatogo kwa mda mrefu.

  

Answers


Kavungya
(i) Yule Ng’ombe alizaa ndama mkybwa jana
(a) Ndama mkubwa alizaliwa/ alizaliwa na ng’ombe yule jana
(ii) Mavu hawa wamemsumbua Nyatogo kwa muda mrefu
(b) Nyatogo amesumbuliwa na mavu hawa kwa muda mrefu
Kavungya answered the question on June 27, 2019 at 10:47


Next: Tunaweza kusema katika chumba au i) …………………………………………………..ama ii) ……………………………………………………..
Previous: Kwa kurejea ngeli za mahali, andika sentensi tatu ukionyesha matumizi ya kila moja

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions