Kwa kurejea ngeli za mahali, andika sentensi tatu ukionyesha matumizi ya kila moja

      

Kwa kurejea ngeli za mahali, andika sentensi tatu ukionyesha matumizi ya kila moja

  

Answers


Kavungya
Hapo ndipo alipozaliwa (PO)
Huko ndiko alikozaliwa (KO)
Humo ndimo alimozaliwa (MO)
Kavungya answered the question on June 27, 2019 at 10:49


Next: Andika sentensi zifuatazo katika hali ya kutendewa i) Yule Ngo’mbe alizaa ndama mkubwa jana ii) Mavu hawa wamemsumbua Nyatogo kwa mda mrefu.
Previous: Andika sentensi za mseto kutokana na mbili fupi ulizopewa a) Mwanafunzi amesoma kwa bidii. Mwanafunzi anataka kupita mtihani b) Leo nimerudi nyumbani. Sipendelei kuishi hapa

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions