Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.

Andika sentensi za mseto kutokana na mbili fupi ulizopewa a) Mwanafunzi amesoma kwa bidii. Mwanafunzi anataka kupita mtihani b) Leo nimerudi nyumbani. Sipendelei kuishi hapa

      

Andika sentensi za mseto kutokana na mbili fupi ulizopewa
a) Mwanafunzi amesoma kwa bidii. Mwanafunzi anataka
kupita mtihani
b) Leo nimerudi nyumbani. Sipendelei kuishi hapa

  

Answers


Kavungya
(i) Mwanafunzi amesoma- kwa bidii. Mwanafunzi anataka kupita mtihani
(a) Mwanafunzi anasoma kwa bidii ili apite mtihane. Pia kusudi / kwa kuwa
anataka/ kwa vile anataka/ ndiposa/ ndipo/ maadama/ mathali n.k

(ii) Leo nimerudi nyumbani. Sipendi kuishi hapa
(a) Leo nimerudi nyumbabi ingawa sipendelei kuishi hapa. Pia ijapo/
ilipokuwa/ hata kama/ ingawaje/ ijapokuwa/ lakini n.k
Kavungya answered the question on June 27, 2019 at 10:50


Next: Kwa kurejea ngeli za mahali, andika sentensi tatu ukionyesha matumizi ya kila moja
Previous: Geuza sentensi hizi kutoka msemo wa taarifa hadi msemo halisi i) Mama alisema nichukue nafaka yetu nikauze sokoni ii) Mwalimu aliomba aletewe vitabu vyake kutoka darasani

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Learn High School English on YouTube

Related Questions