Geuza sentensi hizi kutoka msemo wa taarifa hadi msemo halisi i) Mama alisema nichukue nafaka yetu nikauze sokoni ii) Mwalimu aliomba aletewe vitabu vyake kutoka darasani

      

Geuza sentensi hizi kutoka msemo wa taarifa hadi msemo halisi
i) Mama alisema nichukue nafaka yetu nikauze sokoni
ii) Mwalimu aliomba aletewe vitabu vyake kutoka darasani

  

Answers


Kavungya
(i) Mama alisema nichukue nafaka yetu nikauze sokoni
(a) Mama alisema “ chukua nafaka yetu ukauze sokoni”
(b) “Chukua nafaka yetu ukauze sokoni” mama akasema

(ii) Mwalimu aliomba aletewe vitabu vyake kutoka darasani
(a) “Nileteeni vitabu vyangu kutoka darasani”. Mwalimu aliomba
Kavungya answered the question on June 27, 2019 at 10:53


Next: Andika sentensi za mseto kutokana na mbili fupi ulizopewa a) Mwanafunzi amesoma kwa bidii. Mwanafunzi anataka kupita mtihani b) Leo nimerudi nyumbani. Sipendelei kuishi hapa
Previous: Soma makala yafuatayo kisha ujibu maswali Kati ya viumbe wote waishio ulimwenguni, hakuna kiumbe aliyepevuka mawazo kama binadamu. Kiumbe huyu amewapiku wale wengine kwa njia nyingi, hata...

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions