Akifisha sentensi hii: Watu wengi wamezoea kusema ajali bwana basi yakaishia hapo lakini kufanya hivyo ni sawa.

      

Akifisha sentensi hii:
Watu wengi wamezoea kusema ajali bwana basi yakaishia hapo lakini
kufanya hivyo ni sawa.

  

Answers


Kavungya
Watu wengi wamezoea kusema, “ajali bwana!” Basi yakaisha hapo. Lakini
kufanya hivyo ni sawa?
Kavungya answered the question on June 27, 2019 at 11:45


Next: Tambulisha viwakilishi katika sentensi zifuatazo, halafu uzigeuze sentensi hizo kwa wingi. (i) Nilisoma kitabu chake (ii) Umekuwa mwadilifu kupindukia (iii) Alishinda nishani ya dhahabu
Previous: Andika sentensi hizi kwa umoja i) Mafuta haya yanachuruzika sana ii) Miinuko ile ndiyo mwanzo wa milima ya Chungu.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions