Andika sentensi hizi kwa umoja i) Mafuta haya yanachuruzika sana ii) Miinuko ile ndiyo mwanzo wa milima ya Chungu.

      

Andika sentensi hizi kwa umoja
i) Mafuta haya yanachuruzika sana
ii) Miinuko ile ndiyo mwanzo wa milima ya Chungu.

  

Answers


Kavungya
(i) Mafuta haya yaachuruzika sana
(ii) Mwinuko ule ndio mwanzo wa mlima wa chungu
Kavungya answered the question on June 27, 2019 at 11:47


Next: Akifisha sentensi hii: Watu wengi wamezoea kusema ajali bwana basi yakaishia hapo lakini kufanya hivyo ni sawa.
Previous: Sahihisha sentensi zifuatazo i) Kile kitabu kilipasuka ni changu ii) Matofali haya yanatumiwa kwa ujenzi wa nyumba

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions