Sahihisha sentensi zifuatazo i) Kile kitabu kilipasuka ni changu ii) Matofali haya yanatumiwa kwa ujenzi wa nyumba

      

Sahihisha sentensi zifuatazo
i) Kile kitabu kilipasuka ni changu
ii) Matofali haya yanatumiwa kwa ujenzi wa nyumba

  

Answers


Kavungya
(i) Kitabu kilichopasuka ni changu/ kitabu kile kilichopasuka ni changu/ kile
kitabu kilichopasuka ni changu.
(ii) Mtoto aliyeanguka ni ndugu yangu/ Mtoto ambaye alianguka ni ndugu
yangu
Kavungya answered the question on June 27, 2019 at 11:49


Next: Andika sentensi hizi kwa umoja i) Mafuta haya yanachuruzika sana ii) Miinuko ile ndiyo mwanzo wa milima ya Chungu.
Previous: Andika sentensi hizi upya ukitumia o-ote. i) Chakula kikibaki hutupiliwa mbali ii) Kila nyumba unayoingia unapata watoto wawili

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions