Andika sentensi hizi upya ukitumia o-ote. i) Chakula kikibaki hutupiliwa mbali ii) Kila nyumba unayoingia unapata watoto wawili

      

Andika sentensi hizi upya ukitumia o-ote.
i) Chakula kikibaki hutupiliwa mbali
ii) Kila nyumba unayoingia unapata watoto wawili

  

Answers


Kavungya
(i) Chakula chochote kikibaki hutupiliwambali
Chakula ambacho kinabaki hutupiliwa mbali
(ii) Nyumba yoyote uingapo / unayoingia unapata watoto wawili
Kavungya answered the question on June 27, 2019 at 11:52


Next: Sahihisha sentensi zifuatazo i) Kile kitabu kilipasuka ni changu ii) Matofali haya yanatumiwa kwa ujenzi wa nyumba
Previous: Yapange majina yafuatayo katika ngeli zake i) Neno ii) Kiongozi iii) Mate

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions