Yapange majina yafuatayo katika ngeli zake i) Neno ii) Kiongozi iii) Mate

      

Yapange majina yafuatayo katika ngeli zake
i) Neno
ii) Kiongozi
iii) Mate

  

Answers


Kavungya
(i) Neno Ji- ma (umoja) li- ya
(ii) Kiongozi (umoja) a-wa, m- wa, yu-u-a-wa
(iii) Mate Ji-wa ( wingi) li- ya; ya-ya; ma; ji
Kavungya answered the question on June 27, 2019 at 11:54


Next: Andika sentensi hizi upya ukitumia o-ote. i) Chakula kikibaki hutupiliwa mbali ii) Kila nyumba unayoingia unapata watoto wawili
Previous: Ukizingatia nenolililo katika mabano, andika sentensi hizi atika hali ya kutendeka. i) Daraja hili (vuka) tu wakati wa kiangazi. ii) Kitabu hicho (soma) ijapokuwa sura zingine sura...

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions