Ukizingatia nenolililo katika mabano, andika sentensi hizi atika hali ya kutendeka. i) Daraja hili (vuka) tu wakati wa kiangazi. ii) Kitabu hicho (soma) ijapokuwa sura zingine sura...

      

Ukizingatia nenolililo katika mabano, andika sentensi hizi atika hali ya
kutendeka. (alama 2)
i) Daraja hili (vuka) tu wakati wa kiangazi.
ii) Kitabu hicho (soma) ijapokuwa sura zingine sura zingine hazimo.

  

Answers


Kavungya
(i) Daraja hili huvukika/ linavukika/ litavukika/ lilivukika tu wakati wa
Kiangazi
(ii) Kitabu hicho kinasomeka / chasomeka/ husomeka/ kitasomeka ijapokuwa
sura zingine hazimo.
Kavungya answered the question on June 27, 2019 at 11:55


Next: Yapange majina yafuatayo katika ngeli zake i) Neno ii) Kiongozi iii) Mate
Previous: Tunga sentensi ukionyesha matumizi ya i) –enye ii)-enyewe

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions