Tunga sentensi ukionyesha matumizi ya i) –enye ii)-enyewe

      

Tunga sentensi ukionyesha matumizi ya
i) –enye
ii)-enyewe

  

Answers


Kavungya
(i) Sanduku lenye fedha limeibwa.
(ii) Sanduku lenyewe limepatikana
Kavungya answered the question on June 27, 2019 at 11:56


Next: Ukizingatia nenolililo katika mabano, andika sentensi hizi atika hali ya kutendeka. i) Daraja hili (vuka) tu wakati wa kiangazi. ii) Kitabu hicho (soma) ijapokuwa sura zingine sura...
Previous: Tunga Sentensi zitakazobainisha maana ya jozi za maneno zifuatazo: i) Mbari Mbali ii) Kaakaa Gaagaa

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions