Tunga Sentensi zitakazobainisha maana ya jozi za maneno zifuatazo: i) Mbari Mbali ii) Kaakaa Gaagaa

      

Tunga Sentensi zitakazobainisha maana ya jozi za maneno
zifuatazo:
i) Mbari
Mbali
ii) Kaakaa
Gaagaa

  

Answers


Kavungya
(i) Mbari – Ukoo/ mlango
Watu wa kitovu kimoja, jamii, ukoo n.k. Kamau ni wa mbario yetu
Mbali – kisichokuwa karibu/ masafa marefu baina ya mahali na
mahali/sio sawa sawa, tofauti k.m shati hili lina rangi mbali na lile.
(ii) kaaka- ishi mahali kwa mda/ kinywani sehemu ya juu ya kinywa k.m
alijiuma Kaaka yake
Gaaga – geukaggeuka katika hali ya kujilaza, tuatua, pia garagara k.m
vile aigaagaa kitandani kwa maumivu.
Kavungya answered the question on June 27, 2019 at 11:58


Next: Tunga sentensi ukionyesha matumizi ya i) –enye ii)-enyewe
Previous: Tumia misemo ifuatayo katika sentensi; i) Enda nguu ii) Chemsha roho

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions