Tumia misemo ifuatayo katika sentensi; i) Enda nguu ii) Chemsha roho

      

Tumia misemo ifuatayo katika sentensi;
i) Enda nguu
ii) Chemsha roho

  

Answers


Kavungya
(i) Enda nguu- ( kata tamaa) Kukata tamaa kabisa
Alienda mguu hata kabla ya kujaribu
(ii) Chemsha roho - Kasirisha
Kuwa mkali, kasirika. Baada ya kutusiwa alichemka roho
wakapigana
Kavungya answered the question on June 27, 2019 at 12:00


Next: Tunga Sentensi zitakazobainisha maana ya jozi za maneno zifuatazo: i) Mbari Mbali ii) Kaakaa Gaagaa
Previous: Eleza maana mbili tofauti za Rudi

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions