(i) Reja
(ii) Toa athibu, kaaya
(iii) Toa malipo ya pesa kwa ajili ya kila alichopokea
(iv) Kufupika kwa nguo
Kavungya answered the question on June 27, 2019 at 12:02
- Tumia misemo ifuatayo katika sentensi;
i) Enda nguu
ii) Chemsha roho(Solved)
Tumia misemo ifuatayo katika sentensi;
i) Enda nguu
ii) Chemsha roho
Date posted: June 27, 2019. Answers (1)
- Tunga Sentensi zitakazobainisha maana ya jozi za maneno
zifuatazo:
i) Mbari
Mbali
ii) Kaakaa
Gaagaa(Solved)
Tunga Sentensi zitakazobainisha maana ya jozi za maneno
zifuatazo:
i) Mbari
Mbali
ii) Kaakaa
Gaagaa
Date posted: June 27, 2019. Answers (1)
- Tunga sentensi ukionyesha matumizi ya
i) –enye
ii)-enyewe(Solved)
Tunga sentensi ukionyesha matumizi ya
i) –enye
ii)-enyewe
Date posted: June 27, 2019. Answers (1)
- Ukizingatia nenolililo katika mabano, andika sentensi hizi atika hali ya
kutendeka.
i) Daraja hili (vuka) tu wakati wa kiangazi.
ii) Kitabu hicho (soma) ijapokuwa sura zingine sura...(Solved)
Ukizingatia nenolililo katika mabano, andika sentensi hizi atika hali ya
kutendeka. (alama 2)
i) Daraja hili (vuka) tu wakati wa kiangazi.
ii) Kitabu hicho (soma) ijapokuwa sura zingine sura zingine hazimo.
Date posted: June 27, 2019. Answers (1)
- Yapange majina yafuatayo katika ngeli zake
i) Neno
ii) Kiongozi
iii) Mate
(Solved)
Yapange majina yafuatayo katika ngeli zake
i) Neno
ii) Kiongozi
iii) Mate
Date posted: June 27, 2019. Answers (1)
- Andika sentensi hizi upya ukitumia o-ote.
i) Chakula kikibaki hutupiliwa mbali
ii) Kila nyumba unayoingia unapata watoto wawili(Solved)
Andika sentensi hizi upya ukitumia o-ote.
i) Chakula kikibaki hutupiliwa mbali
ii) Kila nyumba unayoingia unapata watoto wawili
Date posted: June 27, 2019. Answers (1)
- Sahihisha sentensi zifuatazo
i) Kile kitabu kilipasuka ni changu
ii) Matofali haya yanatumiwa kwa ujenzi wa nyumba(Solved)
Sahihisha sentensi zifuatazo
i) Kile kitabu kilipasuka ni changu
ii) Matofali haya yanatumiwa kwa ujenzi wa nyumba
Date posted: June 27, 2019. Answers (1)
- Andika sentensi hizi kwa umoja
i) Mafuta haya yanachuruzika sana
ii) Miinuko ile ndiyo mwanzo wa milima ya Chungu.(Solved)
Andika sentensi hizi kwa umoja
i) Mafuta haya yanachuruzika sana
ii) Miinuko ile ndiyo mwanzo wa milima ya Chungu.
Date posted: June 27, 2019. Answers (1)
- Akifisha sentensi hii:
Watu wengi wamezoea kusema ajali bwana basi yakaishia hapo lakini
kufanya hivyo ni sawa.(Solved)
Akifisha sentensi hii:
Watu wengi wamezoea kusema ajali bwana basi yakaishia hapo lakini
kufanya hivyo ni sawa.
Date posted: June 27, 2019. Answers (1)
- Tambulisha viwakilishi katika sentensi zifuatazo, halafu uzigeuze sentensi
hizo kwa wingi.
(i) Nilisoma kitabu chake
(ii) Umekuwa mwadilifu kupindukia
(iii) Alishinda nishani ya dhahabu(Solved)
Tambulisha viwakilishi katika sentensi zifuatazo, halafu uzigeuze sentensi
hizo kwa wingi.
(i) Nilisoma kitabu chake
(ii) Umekuwa mwadilifu kupindukia
(iii) Alishinda nishani ya dhahabu
Date posted: June 27, 2019. Answers (1)
- Eleza matumizi matatu ya KI na utunge sentensi moja kwa kila mojawapo.(Solved)
Eleza matumizi matatu ya KI na utunge sentensi moja kwa kila mojawapo.
Date posted: June 27, 2019. Answers (1)
- Samaki anayejirusha kutoka majini huitwa?(Solved)
Samaki anayejirusha kutoka majini huitwa?
Date posted: June 27, 2019. Answers (1)
- Anayefundisha mwari mambo ya nyumbani huitwa?(Solved)
Anayefundisha mwari mambo ya nyumbani huitwa?
Date posted: June 27, 2019. Answers (1)
- Andika kinyume cha
i) Shari
ii) Oa(Solved)
Andika kinyume cha
i) Shari
ii) Oa
Date posted: June 27, 2019. Answers (1)
- Kwa kila jozi ya maneno uliyopewa tunga sentensi mbili kutofautisha
maana:
(i) Ini-
Hini
(ii) Tairi-
Tahiri(Solved)
Kwa kila jozi ya maneno uliyopewa tunga sentensi mbili kutofautisha
maana:
(i) Ini-
Hini
(ii) Tairi-
Tahiri
Date posted: June 27, 2019. Answers (1)
- Andika visawe ( maneno yenye maana sawa) vya maneno haya:
(i) Sarafu
(ii) Keleji.
(iii) Daktari.(Solved)
Andika visawe ( maneno yenye maana sawa) vya maneno haya:
(i) Sarafu
(ii) Keleji.
(iii) Daktari.
Date posted: June 27, 2019. Answers (1)
- Eleza katika sentensi maana ya misemo ifuatayo
(i) Uso wa chuma
(ii) Kuramba kisogo(Solved)
Eleza katika sentensi maana ya misemo ifuatayo
(i) Uso wa chuma
(ii) Kuramba kisogo
Date posted: June 27, 2019. Answers (1)
- Eleza maana mbili tofauti za sentensi hii
Wenzake wamelipwa pesa zao, yeye bado amelala(Solved)
Eleza maana mbili tofauti za sentensi hii
Wenzake wamelipwa pesa zao, yeye bado amelala
Date posted: June 27, 2019. Answers (1)
- Soma makala yafuatayo kisha ujibu maswali
Kati ya viumbe wote waishio ulimwenguni, hakuna kiumbe aliyepevuka mawazo kama
binadamu. Kiumbe huyu amewapiku wale wengine kwa njia nyingi, hata...(Solved)
Soma makala yafuatayo kisha ujibu maswali
Kati ya viumbe wote waishio ulimwenguni, hakuna kiumbe aliyepevuka mawazo kama
binadamu. Kiumbe huyu amewapiku wale wengine kwa njia nyingi, hata kuweza
kuwatawala na kuwapangia maisha yao. Binadamu amekirimiwa uwezo wa kuyatawala
mazingira na kukabidhiwa hekima ya kuweza kusana ala mbalimbali ili kuyakabili
mazingira hayo. Hekima hii humwezesha kusitiri kizazi chake.
Aidha, ametunukiwa uwezo mkubwa wa kuivinjari sayari hii yetu katika ilhamu yake ya
kutaka kuvumbua ‘siri’ za maumbile, amejasiri hata kuzitalii sayari nyingine nje ya uso
wa ulimwengu huu. Si ajabu kwamba iwapo wanyama wengine wangepewa urazini wa
kuongea kama yeye, wangalimwandikia tumbi la vitabu kusiuf busara yake. Sifa za
ujasiri wake kamwe hazingewatoka vinywani mwao!
Hata hivyo, kuna tofauti nyingine kubwa kati ya binadamu na hayawani, Tofauti hii
inaweza kumvua binadamu sifa zake zote na kuuona ukwasi wa maarifa yake kama
ishare ya maangamizi ya ulimwengu. Hii ni kutokana na hasara anayosababisha katika
mazingira tulivu walivyoumbiwa viumbe wote.
Uzuri wa ulimwengu tunamoishi humpendeza kila kiumbe hata yule anayemchukia
binadamu kama nzi. Wote hufurahia mazingira yao; hewa safi itokayo milimani,
chemichemi, mito na vijito mnamotiririka maji safi, vilele vya milima vilivyokumbatiwa
na theluji daima dahari, yakiwemo mabonde na tambarare zinazohimili uhai wa viumbe
wengi.
Urembo huo wa kiasili hauwezi kukamilika bila vichaka na misitu inayoipamba sayari hii
huku ikileta mvua. Mapambo yote haya huendeshwea na nguvu za maumbile; nguvu
ambazo hazisababishwi na kuwa hatari kwa uhai wake na ule wa viumbe wenzake kwa
sababu anayaharibu maumbile kwa kiasi kikubwa kinachomtisha yeye mwenyewe. Hii ni
kwa sababu gani? Sababu zipo nyingi.
Sababu mojawapo ni uchafuzi wa maji kama rasimali muhimu ya kiasili. Uchafuzi huu
umewaletea viumbe na mimea maafa mengi, yakiwemo maradhi mbalimbali. Kwa kweli
bila maji, uhai utatoweka duniani. Uharibifu mkubwa wa maji machafu yenye sumu hasa
kutoka viwandani na kuingia kwenye mito na bahari, huwadhuru biumbe wengine ambao
makao yao ni majini. Maji huleta madhara si tu kwa mimea bali hat kwa binadamu
kupitia kwa ulaji wa vyakula.
Misituni rasilimali nyngine inayokimu viumbe, lakini binadamu anaiponza. Ukataji wa
miti kiholela hasa kwenye sehemu za chmichemi husababisha uhaba wa mvua. Uhaba
huo nao huleta kiangazi kinachokausha mimea na visima vya maji. Mchapuko wa ujenzi wa viwanda hasa katika nchi zilizostawi wanasayansi wanaohusika na hali za anga
umesababisha taharuki na wasiwasi mwingi. Hii ni kwa sababu umenyosha kuwa ule
utandu unaozuia miale ya jua kupenya moja kwa moja kweye sayari hii na juhatarisha
uhai, sasa unaanza kutoweka taratibu. Hii ni kutokana na hewa chafu itokayo viwandani.
Kwa kadri binadamu anavyozidi kujiimarisha kiviwanda ndivyo ambavyo mabaki
yaviwanda yanavyozidi hatua hii, ni binadamu atakuwa amechangia pakubwa katika
kutowesha uhai wa viumbe wote ulimwenguni.
Mikutano mingi ya kmataifa imefanywa nab ado inaendelea kufanywa kila uchao ili
kutahadharisha umma wa ulimwengu dhidi ya uharibifu wa mazingira na mali asili.
‘Ajenda’ za mikutano hiyo hasa zinalenga nchi zilizostawi kwani hizi ndizo zinazochafua
mazingira kwa kasi zaidi kuliko zile zinazostawi . Mapendekezo mengi yametolewa
katika vikao hivyo ili kusuluhisha tatizo hili lakini ni hatua chache mno zinazochuliwa
kurekebisha mamba.
Inatupasa sisi wenyewe kuchukua jukumu la kusafisha mazingira yetu. Tuwafunze pia
watoto wetu kuhifadhi mazingira yanapochafuliwa au kuharibiwa. Tukumbuke kuwa
Mwana hufuata kisogo cha nina.Mazingira yanpochafuliwa au kuharibiwa, afya zetu
zimo hatarini, na hali hii pia ni tisho kwa viumbe wengine, hata vimatu! Kila mmoja
wetu anawajibika kutunza mazingira anamoishi kwa manufaa yetu sote na kwa vizazi
vijavyo.
a) Kulingana na taarifa hii, kwa nini binadamu anahesabiwa kuwa na uharibifu
mkubwa kushinda wanyama wengine?
b) Onyesha uhusiano uliopo baina ya maendeleo ya binadamu na uharibifu wa
mazingira.
c) Ni kwa nini mwandishi anahofia zaidi athari za miale ya jua?
d) Eleza kwa ufupi hasara zinazoweza kusababishwa na uharibifu wa mazingira.
e) taja hatua mbili ambazo mwanadamu angeweza kuchukua ili kupunguza madhara
ya viwanda.
f) Kulingana na makala haya ni nini maana ya methali “mwana hufuata kisogo cha
nina?”
g) Eleza maana ya
(i) Kusana
(ii) Mchapuko
Date posted: June 27, 2019. Answers (1)
- Geuza sentensi hizi kutoka msemo wa taarifa hadi msemo halisi
i) Mama alisema nichukue nafaka yetu nikauze sokoni
ii) Mwalimu aliomba aletewe vitabu vyake kutoka darasani(Solved)
Geuza sentensi hizi kutoka msemo wa taarifa hadi msemo halisi
i) Mama alisema nichukue nafaka yetu nikauze sokoni
ii) Mwalimu aliomba aletewe vitabu vyake kutoka darasani
Date posted: June 27, 2019. Answers (1)