Eleza maana ya methali Ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni

      

Eleza maana ya methali
Ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni

  

Answers


Kavungya
Ukistaajabu mambo madogo utafanya nini ukipata makubwa
Si uzuri wa kustajabishwa na jambo kwani kuna uwezekano wa kupatwa
na makubwa
- Usishangazwe na madogo
Kavungya answered the question on June 27, 2019 at 12:04


Next: Eleza maana mbili tofauti za Rudi
Previous: Soma makala yafuatayo kisha ujibu mwsawali Utandaridhi (au globalization kwa lugha ya Kingereza) ni jinsi ya maisha inayoendelea kuutawala ulimwengu wote katika karne hii ya 21. Neno...

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions