Andika kwa msemo halisi sentensi. Tajiri alishangaa kuwa niliweza kuubeba mzigo huo peke yangu.

      

Andika kwa msemo halisi sentensi. Tajiri alishangaa kuwa niliweza kuubeba mzigo huo peke yangu.

  

Answers


Kavungya
“Umeweza kuubeba mzigo huu peke yako!” Tajiri akashangaa
“lo!Umeweza kuubeba mzigo huu peke yako?” tajiri akashangaa
Kavungya answered the question on June 27, 2019 at 12:23


Next: Ziandike upya sentensi zifuatazo kwa kufuata maagizo uliyopewa. i) Nimemleta paka ili aue panya wote wanaotusumbua hapa kwetu nyumbani. (Anza: Panya…) ii) Mbwa ambaye aliripotiwa kuwa ameibwa amepatikana...
Previous: Piga mstari vivumishi katika sentensi hizi i) Sina nguo yoyote niwezayo kuvaa ii) Mtoto mwenyewe ataileta kalamu

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions