Andika vitensi vinavyotokana na majina haya; i) Mfuasi ii) Kifaa iii) Mharibifu

      

Andika vitensi vinavyotokana na majina haya;
i) Mfuasi
ii) Kifaa
iii) Mharibifu

  

Answers


Kavungya
Fuata
Faa
Haribu, haribiwa
Kavungya answered the question on June 27, 2019 at 12:28


Next: Piga mstari vivumishi katika sentensi hizi i) Sina nguo yoyote niwezayo kuvaa ii) Mtoto mwenyewe ataileta kalamu
Previous: Kanusha Ungemwuliza vizuri angekujibu bila wasiwasi

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions