Trusted since 2008
Study resources on Kenyaplex

Get ready-made curriculum aligned revision materials

Exam papers, notes, holiday assignments and topical questions – all aligned to the Kenyan curriculum.

Eleza maana nne-tofauti za sentensi hii; Alinunuliwa samaki na mtoto wake

Eleza maana nne-tofauti za sentensi hii;
Alinunuliwa samaki na mtoto wake

Answers


Kavungya
Mtoto alinunua samaki kwa niaba ya mzazi
Samaki pamoja na motto wake (wa samaki) walinunuliwa
Mtoto alinunua kwa ajili ya mzazi (ili amletee mzazi)
Mtu Fulani alinunuliwa samaki na motto wa mtu mwingine
Mtoto alinunuliwa kutoka kwa mzazi wake
Kavungya answered the question on June 27, 2019 at 12:33

Answer Attachments

Exams With Marking Schemes

Related Questions