Tofautisha maana ya sentensi zifuatazo (i) Kazi yote ni muhimu (ii) Kazi yoyote ni muhimu

      

Tofautisha maana ya sentensi zifuatazo
(i) Kazi yote ni muhimu
(ii) Kazi yoyote ni muhimu

  

Answers


Kavungya
i) Yote: Jumla/ ujumla/nzima/bila kupunguza/bila kubaki
ii) Yoyote: Bila kuchegua/bila kubogwa/bila kujali/zote/kila kazi
Kavungya answered the question on June 27, 2019 at 13:15


Next: Eleza namna mbili za matumizi ya alama ifuatayo ya uakifishi (;)
Previous: Tunga sentensi mbilimbili kuonyesha matumizi mawili tofauti ya I. Ka II. Ndivyo

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions