Sentensi hizi ni za aina gani? i) Lonare anatembea kwa kasi. ii) Halima anaandika hali Ekomwa anasoma

      

Sentensi hizi ni za aina gani?
i) Lonare anatembea kwa kasi.
ii) Halima anaandika hali Ekomwa anasoma

  

Answers


Kavungya
(i) Sahili/ sentensi ya wazo moja/ kitenzi kimoja
(ii) Ambatani/ vitenzi viwili zaidi/ mawazo mawili zaidi/ kiunganishi
Kavungya answered the question on June 28, 2019 at 09:11


Next: Andika sentenzi zifuatazo kulingana na maagizo uliyopewa i) Mhunzi mrefu alishinda tuzo (Anza kw: tuzo… ii) Mwanafunzi huyu anasoma Kifaransa. (Anza kwa kiashiria kisisitizi)
Previous: Tunga sentensi moja ukitumia neno “seuze”

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions