Unda nomino kutokana na vitenzi: i) Chelewa ii) Andika

      

Unda nomino kutokana na vitenzi:
i) Chelewa
ii) Andika

  

Answers


Kavungya
(i) Uchelewaji , mchelewaji, wachelewaji, mchelewa, chelezo,
machelezo
(ii) Maandishi, andiko, mwandiko, mwandishi, mwandiki,
mwandikiwa
Kavungya answered the question on June 28, 2019 at 09:14


Next: Bainisha Kirai Nomino na Kirai Tenzi katika sentensi: Jirani mwema alinipa chakula
Previous: Onyesha hali katika sentensi zifuatazo: i) Henda mvua ikanyesha leo. ii) Miti hukatwa kila siku duniani.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions