Andika kinyume cha: Mwise alikunja nguo alizokuwa ameanika

      

Andika kinyume cha:
Mwise alikunja nguo alizokuwa ameanika

  

Answers


Kavungya
Mwise alikunjua nguo alizokuwa ameanua
Kavungya answered the question on June 28, 2019 at 09:17


Next: Unganisha sentensi zifuatazo ukitumia neno “japo” i) Selina alijitahidi sana . (ii) Selina hakushinda mbio hizo
Previous: Sahihisha sentensi: Mtoto ambaye niliyemsomesha ameasi jamii

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions