Tunga sentensi kuonyesha tofauti kati ya vitate vifuatavyo Suku na zuka

      

Tunga sentensi kuonyesha tofauti kati ya vitate vifuatavyo
Suku na zuka

  

Answers


Kavungya
Alisuku maziwa ya ngombe - kutikisa
Alisuka nywele vizuri - nywele mkeka
Ugonjwa hatari umezuka – kuibuka
Kavungya answered the question on June 28, 2019 at 09:45


Next: Andika katika msemo wa taarifa. “Sitathubutu kumpa pesa zangu” Mkolwe alisema.
Previous: Eleza matumizi ya ritifaa katika: ‘N” shamchukua

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions