Eleza matumizi ya “na” katika sentensi: Sofia na Raeli wanaandaliwa chai na mpishi

      

Eleza matumizi ya “na” katika sentensi:
Sofia na Raeli wanaandaliwa chai na mpishi

  

Answers


Kavungya
Kiunganisha - pamoja
Wakatiuliopo
Kihusishi
Kavungya answered the question on June 28, 2019 at 09:50


Next: Andika udogo na ukubwa wa neno ‘kiti’
Previous: ISIMU JAMII Soma kifungu kifuatacho ujibu maswali yanayofuata. Kwa mujibu wa sheria kifungu nambari 3 sehemu ya A ya sheri za nchi, umepatikana na hatia ya kutatiza utulivu...

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions