Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.
(a) Ung’amuzibwete hufanya kazi mtu akiwa amelala/ usiku kinyume na
ung’amuzi hufanya kazi mtu akiwa macho/ mchana.
(b) (i) Mambo yanayopatikana katika ung’amuzimbwete yana hasi hubana
(ii) Huficha mambo ambayo mwanadamu hawezi kuyasema/ peupe/
kadamnazi
(iii) Hubaa matamanio yasiyo kubalika na jami/ makala
(iv) Hubania kauli zuluzoharamishwa na miko ya kijamii.
Huficha na kubana mambo ambayo binadamu hawezi kuyasema
(c) (i) Kwa ishara za ndoto
(ii) Kwa mitelezo ya kauli
(iii) Kwa ishara
(iv) Kwa matumizi ya lugha ya kitamathali katika uandushi
(d) Fred anawaza kuwa ung’amuzibwete ni jaa la mambo hazi ilhali Jung ana
dhana mbili kuhusu un’amuzibwete – ile ya kibinafsi na jumuishi. Fred
ana mtazamo wa dhana hasi katika ung’amuzibwete tofauti na jung
ambaye anawaza dhana ya jumuishi.
(e) Ung’amuzibwete una uwezo wa kuathiri ungamuzi na matendo ya
binadamu ya king’amuzi.
Kavungya answered the question on June 28, 2019 at 10:03
- ISIMU JAMII
Soma kifungu kifuatacho ujibu maswali yanayofuata.
Kwa mujibu wa sheria kifungu nambari 3 sehemu ya A ya sheri za nchi, umepatikana na
hatia ya kutatiza utulivu...(Solved)
ISIMU JAMII
Soma kifungu kifuatacho ujibu maswali yanayofuata.
Kwa mujibu wa sheria kifungu nambari 3 sehemu ya A ya sheri za nchi, umepatikana na
hatia ya kutatiza utulivu wa raia wapenda amani kwa kuwatusi na kutisha kuwapiga.
Kiongozi wa mashtaka amethibitisha haya wa kuwaleta mashahidi ambao wametoa
ushahidi usiotetereka kuhusu vitendo vyako katika tukio hilo. Korti hii imeonelea una
hatia na imeamuru ufungwe jela kwa muda wa miaka miwili bila faini ili liwe funzo
kwako na kwa wenzako wenye tabia kama zako. Una majuma mawili kukata rufani.
a) Lugha iliyo katika kifungu hiki hutumika katika muktadha upi?
b) Toa ushaidi wa jibu lako
c) Zaidi ya sifa zilizo katika kifungu hiki, eleza sifa zingine sita za matumizi ya
ligha katika muktadha huu.
Date posted: June 28, 2019. Answers (1)
- Eleza matumizi ya “na” katika sentensi:
Sofia na Raeli wanaandaliwa chai na mpishi(Solved)
Eleza matumizi ya “na” katika sentensi:
Sofia na Raeli wanaandaliwa chai na mpishi
Date posted: June 28, 2019. Answers (1)
- Andika udogo na ukubwa wa neno ‘kiti’(Solved)
Andika udogo na ukubwa wa neno ‘kiti’
Date posted: June 28, 2019. Answers (1)
- Eleza matumizi ya ritifaa katika: ‘N” shamchukua(Solved)
Eleza matumizi ya ritifaa katika: ‘N” shamchukua
Date posted: June 28, 2019. Answers (1)
- Tunga sentensi kuonyesha tofauti kati ya vitate vifuatavyo
Suku na zuka(Solved)
Tunga sentensi kuonyesha tofauti kati ya vitate vifuatavyo
Suku na zuka
Date posted: June 28, 2019. Answers (1)
- Andika katika msemo wa taarifa. “Sitathubutu kumpa pesa zangu” Mkolwe
alisema.(Solved)
Andika katika msemo wa taarifa. “Sitathubutu kumpa pesa zangu” Mkolwe
alisema.
Date posted: June 28, 2019. Answers (1)
- Sahihisha sentensi:
Mtoto ambaye niliyemsomesha ameasi jamii(Solved)
Sahihisha sentensi:
Mtoto ambaye niliyemsomesha ameasi jamii
Date posted: June 28, 2019. Answers (1)
- Andika kinyume cha:
Mwise alikunja nguo alizokuwa ameanika(Solved)
Andika kinyume cha:
Mwise alikunja nguo alizokuwa ameanika
Date posted: June 28, 2019. Answers (1)
- Unganisha sentensi zifuatazo ukitumia neno “japo”
i) Selina alijitahidi sana .
(ii) Selina hakushinda mbio hizo(Solved)
Unganisha sentensi zifuatazo ukitumia neno “japo”
i) Selina alijitahidi sana .
(ii) Selina hakushinda mbio hizo
Date posted: June 28, 2019. Answers (1)
- Onyesha hali katika sentensi zifuatazo:
i) Henda mvua ikanyesha leo.
ii) Miti hukatwa kila siku duniani.(Solved)
Onyesha hali katika sentensi zifuatazo:
i) Henda mvua ikanyesha leo.
ii) Miti hukatwa kila siku duniani.
Date posted: June 28, 2019. Answers (1)
- Unda nomino kutokana na vitenzi:
i) Chelewa
ii) Andika(Solved)
Unda nomino kutokana na vitenzi:
i) Chelewa
ii) Andika
Date posted: June 28, 2019. Answers (1)
- Bainisha Kirai Nomino na Kirai Tenzi katika sentensi:
Jirani mwema alinipa chakula(Solved)
Bainisha Kirai Nomino na Kirai Tenzi katika sentensi:
Jirani mwema alinipa chakula
Date posted: June 28, 2019. Answers (1)
- Tunga sentensi moja ukitumia neno “seuze”(Solved)
Tunga sentensi moja ukitumia neno “seuze”
Date posted: June 28, 2019. Answers (1)
- Sentensi hizi ni za aina gani?
i) Lonare anatembea kwa kasi.
ii) Halima anaandika hali Ekomwa anasoma(Solved)
Sentensi hizi ni za aina gani?
i) Lonare anatembea kwa kasi.
ii) Halima anaandika hali Ekomwa anasoma
Date posted: June 28, 2019. Answers (1)
- Andika sentenzi zifuatazo kulingana na maagizo uliyopewa
i) Mhunzi mrefu alishinda tuzo (Anza kw: tuzo…
ii) Mwanafunzi huyu anasoma Kifaransa. (Anza kwa kiashiria kisisitizi)(Solved)
Andika sentenzi zifuatazo kulingana na maagizo uliyopewa
i) Mhunzi mrefu alishinda tuzo (Anza kw: tuzo…
ii) Mwanafunzi huyu anasoma Kifaransa. (Anza kwa kiashiria kisisitizi)
Date posted: June 28, 2019. Answers (1)
- Kitenzi fumbata kiko katika hali (kauli) ya?(Solved)
Kitenzi fumbata kiko katika hali (kauli) ya?
Date posted: June 28, 2019. Answers (1)
- Kanusha sentensi ifuatayo:
Ningalikuwa na pesa ningalinunua nyumba(Solved)
Kanusha sentensi ifuatayo:
Ningalikuwa na pesa ningalinunua nyumba
Date posted: June 28, 2019. Answers (1)
- Taja sauti mbili zinazotamkiwa midomoni.(Solved)
Taja sauti mbili zinazotamkiwa midomoni.
Date posted: June 28, 2019. Answers (1)
- Onyesha viambishi awali na tamati katika kitenzi: Alimchezea(Solved)
Onyesha viambishi awali na tamati katika kitenzi: Alimchezea
Date posted: June 28, 2019. Answers (1)
- Tunga sentensi inayodhihirisha matumizi ya ngeli ya I – I(Solved)
Tunga sentensi inayodhihirisha matumizi ya ngeli ya I – I
Date posted: June 28, 2019. Answers (1)