Bila kubadilisha maana fupisha aya nne za mwanzo

Ugonjwa wa utando wa ubongo ambao kwa kiingereza unafahamika kama ‘meningitis’ huzua hofu
miongoni mwa watu wengi. Ugonjwa huo pia hujulikana kama homa ya uti wa mgongo.

Hofu kama hizo zinaeleweka kwa sababu utando wa ubongo ni ugonjwa unaoathiri ngozi inayofunika
ubongo na uti wa mgongo na kwa hivyo ni rahisi mno kusababisha kifo ikiwa mgonjwa hatahudumiwa
haraka iwezekanavyo.

Utando wa ubongo ni ugonjwa unaosababishwa na virusi na bacteria. Kwa mujibu wa wataalamu wa
afya, utando wa ubongo unaosababishwa na virusi sio hatari sana kwa uhai wa mtu ukilinganishwa na
bakteria. Japo watu wengi wanaougua utando wa ubongo hutibiwa na kupona, baadhi yao huachwa
wakiwa bubu au vipofu na wengine kufariki.

Shida kubwa ya ugonjwa huu ni kwamba unatokea bila kutarajiwa. Kwa mfano mtoto au mtu wa umri
mkubwa anaweza kuwa mzima kwa muda wa dakika kadha ila baadaye kuwa mgonjwa mahututi baada
ya kukumbwa na ugonjwa huo. Shida nyingine ya ugomjwa huu ni kwamba huwa vigumu kutenganisha
dalili za ugonjwa huu na dalili za magonjwa mengine ya kawaida kama vile maumivu ya kichwa. Kwa
hivyo kuna baadhi ya watu wanaomeza dawa za kupunguza maumivu ya kichwa bila kujua wanaugua
utando wa ubongo.

Dalili za watoto wanaougua utando wa ubongo ni homa, kutapika, mtoto kukataa kula na kulia kwa
uchungu. Mtoto anayeugua ugonjwa huu kadhalika huwa anaonyesha dalili za kufura kichwa, kupumua
kwa haraka na kutupatupa miguu huku mwili wake ukiwa umejikunyata. Watu walio wa umri mkubwa
nao huonyesha dalili za maumivu makali ya kichwa, na shingo nzito (stiff neck) na mgonjwa kuepukana
na mwangaza. Kadhalika mgonjwa hushikwa na homa na pia kutapika kando na kukosa ufahamu.

Utafiti umeonyesha kwamba watu walio na umri mkubwa kadhalika huonyesha dalili za kuwa na mikono
au miguu baridi, maumivu ya misuli na tumbo hasa kutokana na damu kuwa na sumu. Ni muhimu
kufahamu kwamba sio kila mtu anahisi dalili hizi. Ikiwa yeyote atashuhudia baadhi ya dalili hizi itakuwa
bora kufika hospitalini haraka kupata usaidizi wa daktari kabla ya ugonjwa huo kuzidi sana.

Yeyote anayeshuku kwamba anaugua utando wa ubongo anapaswa kupelekwa hospitalini mara moja. Hii
ni kwa sababu ni rahisi kwa daktari kutibu mgonjwa anayepelekwa hospitalini punde tu anapoonyesha
dalili ikilinganishwa na yule anayepelekwa huko kama amechelewa.

Bila kubadilisha maana fupisha aya nne za mwanzo

Answers

Maurice
Utando wa ubongo (meningitis) huzua hofu. -Huathiri ngozi inayofunika ubongo. -Bakteria huwa hatari kuliko virusi kwa kusababisha meningitis. -Wagonjwa wengi watibiwapo haraka hupona lakini wengine huachwa wakiwa bubu au vipovu na wengine hufariki. -Ripoti hii ni kwa mujibu wa wataalamu wa afya.
maurice.mutuku answered the question on August 2, 2019 at 06:04

Next: Ni hatua zipi zinazoweza kuchukuliwa na wakenya ili kuhakikisha usalama wao?
Previous: Ukizingatia aya tatu za mwisho, eleza dalili za ugonjwa wa utando wa ubongo na huduma kwa mhasiriwa.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index

Exams With Marking Schemes

Related Questions

  • Ni hatua zipi zinazoweza kuchukuliwa na wakenya ili kuhakikisha usalama wao?(Solved)

    HABARI zisizoridhisha kuhusu shambulizi la kigaidi katika kituo cha biashara cha Westgate, Kaunti ya
    Nairobi ambapo watu wapatao 67 waliaga dunia na wengine zaidi ya 175 wakaachwa na majeraha,
    zinaendelea kufichuka. Magazeti yaliangazia habari kwamba mawaziri wanne pamoja na maafisa wakuu
    wa usalama nchini walipashwa habari za kijasusi kuhusu mipango ya magaidi wa Al-Shabaab kutekeleza
    shambulizi hilo. Inadaiwa kwamba viongozi hao hawakuchukua hatua za kuzuia shambulizi hilo.

    Habari zaidi zilieleza kwamba kituo hicho kilikuwa kinafanyiwa uchunguzi na idara ya Kitaifa ya Ujasusi
    (NIS) kabla ya kushambuliwa na magaidi. Imeripotiwa kwamba wachunguzaji wa ujasusi walikuwa
    katika kituo hicho masaa machache kabla ya magaidi hao kufika na kuanza kuwafyatulia risasi walinda
    usalama, wateja na wafanyabiashara. Inadaiwa wachunguzaji hao 'waliwasiliana' na maafisa wa polisi
    wanaoshika doria mara kwa mara katika kituo hicho ambacho kimetajwa kuwa miongoni mwa maeneo
    muhimu sana jijini Nairobi.

    Habari hizi zote zinawapa Wakenya ujumbe mmoja; kwamba baadhi ya maafisa wakuu na idara za
    serikali zilizembea katika majukumu yao ya kuwahakikishia Wakenya na wageni wote wanaozuru Kenya,
    usalama. Ingawa hatupingi kwamba maafisa hao wanapaswa kuchukuliwa hatua za kinidhamu kwa
    kuzembea kazini, jambo muhimu ambalo Wakenya wanataka sasa si lawama bali hakikisho kwamba
    maisha yao hayapo hatarini wanapoendelea na shughuli zao za kila siku za kuijenga nchi.

    Vitisho vilivyotolewa na magaidi hao ambao wamesema wanapanga kutekeleza mashambulizi mengine
    ndivyo vinavyowakosesha Wakenya Usingizi. Wahenga walisema tusahau yaliyopita na tugange yajayo.
    Serikali inapaswa kutumia shambulizi la Westgate kama funzo litakalozifanya idara zake za usalama
    kuamka usingizini na kuhakikisha kwamba Wakenya wasio na hatia hawapotezi tena maisha yao katika
    mashambulizi kama haya.

    Lakini mbona Wakenya nao wasianze kuuthamini usalama wao wenyewe? Hali ya usalama nchini
    itaimarika maradufu kama Wakenya wote watachakua jukumu la kuwajua vyema majirani wao na
    kuripoti jambo lolote lisilo la kawaida kwa maafisa wa usalama.

    Shambulizi hili lingezuiwa kama Wakenya wangekuwa na mazoea ya kutaka kuwafahamu vyema watu
    wanaoishi karibu nao kwani inadaiwa kwamba magaidi hawa waliwasili nchini kitambo na kukodisha
    nyumba ambako waliendeleza mipanga yao. Badala ya kuwalimbikizia lawama polisi, mbona tusishikane
    nao ili kuhakikisha kwamba watu wenye nia mbaya mitaani mwetu wanakamatwa na kuchukuliwa hatua
    za kisheria?

    Ni hatua zipi zinazoweza kuchukuliwa na wakenya ili kuhakikisha usalama wao?

    Date posted: August 2, 2019.  Answers (1)

  • “Tusahau yaliyopita na tugange yajayo”. Thibitisha ukweli wa usemi huu katika kuwahakikishia wakenya usalama.(Solved)

    “Tusahau yaliyopita na tugange yajayo”. Thibitisha ukweli wa usemi huu katika kuwahakikishia
    wakenya usalama.

    Date posted: August 2, 2019.  Answers (1)

  • Ni mambo yapi yanayowatia hofu Wakenya?(Solved)

    Ni mambo yapi yanayowatia hofu Wakenya?

    Date posted: August 2, 2019.  Answers (1)

  • Ni nini mtazamo wa mwandishi kuhusuu maafisa wakuu serikalini?(Solved)

    Ni nini mtazamo wa mwandishi kuhusuu maafisa wakuu serikalini?

    Date posted: August 2, 2019.  Answers (1)

  • Eleza kinaya kinachojitokeza kuhusu tukio la Westgate.(Solved)

    Eleza kinaya kinachojitokeza kuhusu tukio la Westgate.

    Date posted: August 2, 2019.  Answers (1)

  • Taja maafa yaliyosababishwa na tukio linalorejelewa.(Solved)

    Taja maafa yaliyosababishwa na tukio linalorejelewa.

    Date posted: August 2, 2019.  Answers (1)

  • Toa anwani mwafaka kwa taarifa hii.(Solved)

    Toa anwani mwafaka kwa taarifa hii.

    Date posted: August 2, 2019.  Answers (1)

  • Ni hatua gani ambazo serikali imechukua katika kuimarisha afya ya umma?(Solved)

    Ni hatua gani ambazo serikali imechukua katika kuimarisha afya ya umma?

    Date posted: August 2, 2019.  Answers (1)

  • Eleza tofauti kati ya mzizi wa neno na shina la neno (Solved)

    Eleza tofauti kati ya mzizi wa neno na shina la neno

    Date posted: July 5, 2019.  Answers (1)

  • State the contributions of parastatals to the economic development of Kenya.(Solved)

    State the contributions of parastatals to the economic development of Kenya.

    Date posted: July 2, 2019.  Answers (1)

  • USHAIRI Soma shairi kisha ujibu maswali yanayofuata: KIBARUWA: Abdilatif Abdalla Kwenye shamba hilo kubwa asilani hakunyi mvuwa! Ni kwa mitilizi ya jasho langu ndiyo hunweshezewa Kwenye shamba hilo kubwa sasa...(Solved)

    USHAIRI
    Soma shairi kisha ujibu maswali yanayofuata:
    KIBARUWA: Abdilatif Abdalla

    Kwenye shamba hilo kubwa asilani hakunyi mvuwa!
    Ni kwa mitilizi ya jasho langu ndiyo hunweshezewa
    Kwenye shamba hilo kubwa sasa imeshaiva kahawa
    Na bunize ni matone ya damu yangu niliyotowa
    Ndipo mte ukatipuza!

    Buni hiyo itakaangwa buni hiyo itapondwapondwa
    Buni hiyo itasagwa na buni hiyo itafyondwafyondwa
    Bali itabaki nyeusi kama ngozi yangu Kibaruwa
    Waulize ndege kwa nyimbo nyanana watutumbuizao
    Iulize na mito kwa furaha maji itiririkao
    Uulize na upepo mkali kwa ghadhabu uvumao-.

    Viulize: Ni nani araukaye na mapema kuzitema mbuga na kuzilaza?
    Viulize: Ni nani akweaye minazi tangu kuchapo hadi lingiapo giza?
    Viulize: Ni nani abebeshwaye mizigo hadi maungo yakageuka shaza?
    Halfuye hana faida moja apatay wala malipo yanayotosheleza-
    Isipokuwa kusundugwa na kutupiwa matambara na vyakula viliyooza?
    Viulize: Ni nani huyo ni nani!

    Viulize: Ni nani aliyemaye mashamba na kuyapoliliya?
    Na mimea kochokocho ikajaa kwa uzito ikajinamiya?
    Hatimaye nani atajirikaye mali yakammiminikiya
    Akatoa na kitambi kama mja mzito wa miezi tisiya
    Na akaongeza magari na wanawake kutoka na kuingiya?
    Viulize: Ni nani huyo nani

    Na hao ndege kwa nyimbo nyanana watutumbuizao
    Nayo hiyo mito kwa furaha maji itirikao
    Na huo upepo mkali wenye ghadhabu uvumao
    Vyote hivyo vitatu vitakujibu kawa umoja wao
    “Ni Kibaruwa Manamba ndiye mtendaji hayo!”

    a) Eleza dhamira ya shairi hili.
    b) Kwa kutoa mifano, eleza aina mbili za idhini ya kishairi alizotumia mshairi
    c) kwa kurejelea ubeti wa tatu taja na ueleze tamathali ya usemi na mbinu ya kimuundo mshairi aliyoitumia

    Date posted: June 29, 2019.  Answers (1)

  • ISIMU JAMII Eleza majukumu matano matano ya Kiswahili kama lugha ya Kitaifa na Kimataifa.(Solved)

    ISIMU JAMII
    Eleza majukumu matano matano ya Kiswahili kama lugha ya Kitaifa na Kimataifa.

    Date posted: June 29, 2019.  Answers (1)

  • andika maneno yafuatayo katika kauli zilizoonyeshwa katika mabano Neno Kauli ...(Solved)

    andika maneno yafuatayo katika kauli zilizoonyeshwa katika mabano
    Neno Kauli Jibu
    i) Imba (tendesha) ……………………………………
    ii) choka (tendea) …………………………………………

    Date posted: June 29, 2019.  Answers (1)

  • Andika kinyume cha:Furaha amehamia mjini.(Solved)

    Andika kinyume cha:
    Furaha amehamia mjini.

    Date posted: June 29, 2019.  Answers (1)

  • Kanusha sentensi ifuatayo. Hapo napo ndipo nitakapo.(Solved)

    Kanusha sentensi ifuatayo.
    Hapo napo ndipo nitakapo.

    Date posted: June 29, 2019.  Answers (1)

  • Huku ukitoa mifano mwafaka onyesha matumizi mawili ya kinyota(*) katika sarufi ya Kiswahili.(Solved)

    Huku ukitoa mifano mwafaka onyesha matumizi mawili ya kinyota(*)
    katika sarufi ya Kiswahili.

    Date posted: June 29, 2019.  Answers (1)

  • Andika kw msemo halisi: Baba alipotuuliza kama tungependa kwenda Mombasa wakati wa likizo tulimjibu kwamba tulitaka kwenda Kisumu kwa kuwa tulikuwa hatujaliona Ziwa Victoria.(Solved)

    Andika kw msemo halisi: Baba alipotuuliza kama tungependa kwenda
    Mombasa wakati wa likizo tulimjibu kwamba tulitaka kwenda Kisumu
    kwa kuwa tulikuwa hatujaliona Ziwa Victoria.k

    Date posted: June 29, 2019.  Answers (1)

  • Iandike tena sentensi ifuatayo bila kutumia vitenzi visaidizi Wachezaji huenda wakawa wanaweza kushinda mchezo wa leo.(Solved)

    Iandike tena sentensi ifuatayo bila kutumia vitenzi visaidizi
    Wachezaji huenda wakawa wanaweza kushinda mchezo wa leo.

    Date posted: June 29, 2019.  Answers (1)

  • Andika ukubwa wa sentensi: Ndovu wa Kiafrika ameharibu kichaka(Solved)

    Andika ukubwa wa sentensi:
    Ndovu wa Kiafrika ameharibu kichaka

    Date posted: June 29, 2019.  Answers (1)

  • Bainisha sentensi sahili zilizo katika sentensi mseto ifuatayo: Hamali ambaye ameugua alisema kuwa angekwenda hospitali jana(Solved)

    Bainisha sentensi sahili zilizo katika sentensi mseto ifuatayo:
    Hamali ambaye ameugua alisema kuwa angekwenda hospitali jana

    Date posted: June 29, 2019.  Answers (1)