Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.

“Haya basi. Beba mmoja! Beba mmoja! Dada njoo. Nafasi ya mmoja. Ni mbao tu. Bei ya chini kuliko keki. Usiachwe, bei ni poa.”

“Haya basi. Beba mmoja! Beba mmoja! Dada njoo. Nafasi ya mmoja. Ni mbao tu. Bei ya
chini kuliko keki. Usiachwe, bei ni poa.”

Fafanua sifa nne za sajili hii.

Answers

Maurice
-Hutumia lugha ya kudadisi kama vile unakwenda wapi?
- Sentensi fupi kwa mfano unakwenda wapi?
- Matumizi ya misimu –mbao
- Kuchanganya ndimi-gari linaondoka stage
- Lugha ya kubembeleza-usiachwe nyuma
- Lugha ya sitiari-gari hili ni jeti
- Utohozi- karibu kastoma
- Lugha isiyo sanifu-bei hiyo si mingi
- Lugha ya mkato-dere
maurice.mutuku answered the question on August 2, 2019 at 06:54

Next: Eleza maana tatu za sentensi ifuatayo Alisema angeenda kwao
Previous: Andika upya sentensi ifuatayo katika hali timilifu. Mwanafunzi anasoma darasani

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index

Learn High School English on YouTube

Related Questions

  • Eleza maana tatu za sentensi ifuatayo Alisema angeenda kwao(Solved)

    Eleza maana tatu za sentensi ifuatayo

    Alisema angeenda kwao

    Date posted: August 2, 2019.  Answers (1)

  • Tambua miundo yoyote mitatu ya ngeli ya LI-YA(Solved)

    Tambua miundo yoyote mitatu ya ngeli ya LI-YA

    Date posted: August 2, 2019.  Answers (1)

  • Andika katika udogo wingi Mti wa msonobari unatengeneza meza nzuri sana(Solved)

    Andika katika udogo wingi

    Mti wa msonobari unatengeneza meza nzuri sana

    Date posted: August 2, 2019.  Answers (1)

  • Eleza maana ya sentensi ifuatayo (i) Ningalisoma kwa bidii ningalipita mtihani (ii) Ningesoma kwa bidii ningepita mtihani(Solved)

    Eleza maana ya sentensi ifuatayo

    (i) Ningalisoma kwa bidii ningalipita mtihani

    (ii) Ningesoma kwa bidii ningepita mtihani

    Date posted: August 2, 2019.  Answers (1)

  • Eleza matumizi ya ‘ni’ katika sentensi hii Ingieni darasani mara moja ili niwape zoezi ambalo ni rahisi(Solved)

    Eleza matumizi ya ‘ni’ katika sentensi hii

    Ingieni darasani mara moja ili niwape zoezi ambalo ni rahisi

    Date posted: August 2, 2019.  Answers (1)

  • Andika kwa usemi wa taarifa Karani: Njoo nikutume kwa babu yangu. Mutuma: Sitaki kupita njia ya kwa babu(Solved)

    Andika kwa usemi wa taarifa

    Karani: Njoo nikutume kwa babu yangu.

    Mutuma: Sitaki kupita njia ya kwa babu

    Date posted: August 2, 2019.  Answers (1)

  • Changanua sentensi ifuatayo kwa kielelezo cha mstari Mwanafunzi mwerevu sana aliyekuwa mgonjwa jana amepelekwa nyumbani(Solved)

    Changanua sentensi ifuatayo kwa kielelezo cha mstari

    Mwanafunzi mwerevu sana aliyekuwa mgonjwa jana amepelekwa nyumbani

    Date posted: August 2, 2019.  Answers (1)

  • Ainisha vishazi katika sentensi ifuatayo Kijana aliyezungumza na nyanyake ameingia katika darasa lililochafuliwa na wanafunzi(Solved)

    Ainisha vishazi katika sentensi ifuatayo

    Kijana aliyezungumza na nyanyake ameingia katika darasa lililochafuliwa na wanafunzi

    Date posted: August 2, 2019.  Answers (1)

  • Ainisha vielezi vya namna katika sentensi hii. Mzee huyu mkongwe alicheka kijinga huku akila haraka haraka(Solved)

    Ainisha vielezi vya namna katika sentensi hii.

    Mzee huyu mkongwe alicheka kijinga huku akila haraka haraka

    Date posted: August 2, 2019.  Answers (1)

  • Tambua aina mbili za sentensi ukizingatia uamilifu na utoe mfano mmoja kwa kila moja (Solved)

    Tambua aina mbili za sentensi ukizingatia uamilifu na utoe mfano mmoja kwa kila moja

    Date posted: August 2, 2019.  Answers (1)

  • Ainisha viambishi katika neno lifuatalo Yafutikayo(Solved)

    Ainisha viambishi katika neno lifuatalo

    Yafutikayo

    Date posted: August 2, 2019.  Answers (1)

  • Andika neno lililo na muundo wa silabi ufuatao: IKKI(Solved)

    Andika neno lililo na muundo wa silabi ufuatao:

    IKKI

    Date posted: August 2, 2019.  Answers (1)

  • Fafanua sifa bainifu za sauti hizi: /y/ /m/(Solved)

    Fafanua sifa bainifu za sauti hizi:
    /y/
    /m/

    Date posted: August 2, 2019.  Answers (1)

  • Kwa kutolea mifano, tofautisha kati ya ala tuli na ala sogezi.(Solved)

    Kwa kutolea mifano, tofautisha kati ya ala tuli na ala sogezi.

    Date posted: August 2, 2019.  Answers (1)

  • Ukizingatia aya tatu za mwisho, eleza dalili za ugonjwa wa utando wa ubongo na huduma kwa mhasiriwa.(Solved)

    Ugonjwa wa utando wa ubongo ambao kwa kiingereza unafahamika kama ‘meningitis’ huzua hofu
    miongoni mwa watu wengi. Ugonjwa huo pia hujulikana kama homa ya uti wa mgongo.

    Hofu kama hizo zinaeleweka kwa sababu utando wa ubongo ni ugonjwa unaoathiri ngozi inayofunika
    ubongo na uti wa mgongo na kwa hivyo ni rahisi mno kusababisha kifo ikiwa mgonjwa hatahudumiwa
    haraka iwezekanavyo.

    Utando wa ubongo ni ugonjwa unaosababishwa na virusi na bacteria. Kwa mujibu wa wataalamu wa
    afya, utando wa ubongo unaosababishwa na virusi sio hatari sana kwa uhai wa mtu ukilinganishwa na
    bakteria. Japo watu wengi wanaougua utando wa ubongo hutibiwa na kupona, baadhi yao huachwa
    wakiwa bubu au vipofu na wengine kufariki.

    Shida kubwa ya ugonjwa huu ni kwamba unatokea bila kutarajiwa. Kwa mfano mtoto au mtu wa umri
    mkubwa anaweza kuwa mzima kwa muda wa dakika kadha ila baadaye kuwa mgonjwa mahututi baada
    ya kukumbwa na ugonjwa huo. Shida nyingine ya ugomjwa huu ni kwamba huwa vigumu kutenganisha
    dalili za ugonjwa huu na dalili za magonjwa mengine ya kawaida kama vile maumivu ya kichwa. Kwa
    hivyo kuna baadhi ya watu wanaomeza dawa za kupunguza maumivu ya kichwa bila kujua wanaugua
    utando wa ubongo.

    Dalili za watoto wanaougua utando wa ubongo ni homa, kutapika, mtoto kukataa kula na kulia kwa
    uchungu. Mtoto anayeugua ugonjwa huu kadhalika huwa anaonyesha dalili za kufura kichwa, kupumua
    kwa haraka na kutupatupa miguu huku mwili wake ukiwa umejikunyata. Watu walio wa umri mkubwa
    nao huonyesha dalili za maumivu makali ya kichwa, na shingo nzito (stiff neck) na mgonjwa kuepukana
    na mwangaza. Kadhalika mgonjwa hushikwa na homa na pia kutapika kando na kukosa ufahamu.

    Utafiti umeonyesha kwamba watu walio na umri mkubwa kadhalika huonyesha dalili za kuwa na mikono
    au miguu baridi, maumivu ya misuli na tumbo hasa kutokana na damu kuwa na sumu. Ni muhimu
    kufahamu kwamba sio kila mtu anahisi dalili hizi. Ikiwa yeyote atashuhudia baadhi ya dalili hizi itakuwa
    bora kufika hospitalini haraka kupata usaidizi wa daktari kabla ya ugonjwa huo kuzidi sana.

    Yeyote anayeshuku kwamba anaugua utando wa ubongo anapaswa kupelekwa hospitalini mara moja. Hii
    ni kwa sababu ni rahisi kwa daktari kutibu mgonjwa anayepelekwa hospitalini punde tu anapoonyesha
    dalili ikilinganishwa na yule anayepelekwa huko kama amechelewa.

    Ukizingatia aya tatu za mwisho, eleza dalili za ugonjwa wa utando wa ubongo na huduma kwa
    mhasiriwa.

    Date posted: August 2, 2019.  Answers (1)

  • Bila kubadilisha maana fupisha aya nne za mwanzo(Solved)

    Bila kubadilisha maana fupisha aya nne za mwanzo

    Date posted: August 2, 2019.  Answers (1)

  • Ni hatua zipi zinazoweza kuchukuliwa na wakenya ili kuhakikisha usalama wao?(Solved)

    HABARI zisizoridhisha kuhusu shambulizi la kigaidi katika kituo cha biashara cha Westgate, Kaunti ya
    Nairobi ambapo watu wapatao 67 waliaga dunia na wengine zaidi ya 175 wakaachwa na majeraha,
    zinaendelea kufichuka. Magazeti yaliangazia habari kwamba mawaziri wanne pamoja na maafisa wakuu
    wa usalama nchini walipashwa habari za kijasusi kuhusu mipango ya magaidi wa Al-Shabaab kutekeleza
    shambulizi hilo. Inadaiwa kwamba viongozi hao hawakuchukua hatua za kuzuia shambulizi hilo.

    Habari zaidi zilieleza kwamba kituo hicho kilikuwa kinafanyiwa uchunguzi na idara ya Kitaifa ya Ujasusi
    (NIS) kabla ya kushambuliwa na magaidi. Imeripotiwa kwamba wachunguzaji wa ujasusi walikuwa
    katika kituo hicho masaa machache kabla ya magaidi hao kufika na kuanza kuwafyatulia risasi walinda
    usalama, wateja na wafanyabiashara. Inadaiwa wachunguzaji hao 'waliwasiliana' na maafisa wa polisi
    wanaoshika doria mara kwa mara katika kituo hicho ambacho kimetajwa kuwa miongoni mwa maeneo
    muhimu sana jijini Nairobi.

    Habari hizi zote zinawapa Wakenya ujumbe mmoja; kwamba baadhi ya maafisa wakuu na idara za
    serikali zilizembea katika majukumu yao ya kuwahakikishia Wakenya na wageni wote wanaozuru Kenya,
    usalama. Ingawa hatupingi kwamba maafisa hao wanapaswa kuchukuliwa hatua za kinidhamu kwa
    kuzembea kazini, jambo muhimu ambalo Wakenya wanataka sasa si lawama bali hakikisho kwamba
    maisha yao hayapo hatarini wanapoendelea na shughuli zao za kila siku za kuijenga nchi.

    Vitisho vilivyotolewa na magaidi hao ambao wamesema wanapanga kutekeleza mashambulizi mengine
    ndivyo vinavyowakosesha Wakenya Usingizi. Wahenga walisema tusahau yaliyopita na tugange yajayo.
    Serikali inapaswa kutumia shambulizi la Westgate kama funzo litakalozifanya idara zake za usalama
    kuamka usingizini na kuhakikisha kwamba Wakenya wasio na hatia hawapotezi tena maisha yao katika
    mashambulizi kama haya.

    Lakini mbona Wakenya nao wasianze kuuthamini usalama wao wenyewe? Hali ya usalama nchini
    itaimarika maradufu kama Wakenya wote watachakua jukumu la kuwajua vyema majirani wao na
    kuripoti jambo lolote lisilo la kawaida kwa maafisa wa usalama.

    Shambulizi hili lingezuiwa kama Wakenya wangekuwa na mazoea ya kutaka kuwafahamu vyema watu
    wanaoishi karibu nao kwani inadaiwa kwamba magaidi hawa waliwasili nchini kitambo na kukodisha
    nyumba ambako waliendeleza mipanga yao. Badala ya kuwalimbikizia lawama polisi, mbona tusishikane
    nao ili kuhakikisha kwamba watu wenye nia mbaya mitaani mwetu wanakamatwa na kuchukuliwa hatua
    za kisheria?

    Ni hatua zipi zinazoweza kuchukuliwa na wakenya ili kuhakikisha usalama wao?

    Date posted: August 2, 2019.  Answers (1)

  • “Tusahau yaliyopita na tugange yajayo”. Thibitisha ukweli wa usemi huu katika kuwahakikishia wakenya usalama.(Solved)

    “Tusahau yaliyopita na tugange yajayo”. Thibitisha ukweli wa usemi huu katika kuwahakikishia
    wakenya usalama.

    Date posted: August 2, 2019.  Answers (1)

  • Ni mambo yapi yanayowatia hofu Wakenya?(Solved)

    Ni mambo yapi yanayowatia hofu Wakenya?

    Date posted: August 2, 2019.  Answers (1)

  • Ni nini mtazamo wa mwandishi kuhusuu maafisa wakuu serikalini?(Solved)

    Ni nini mtazamo wa mwandishi kuhusuu maafisa wakuu serikalini?