(i) Nilitembea hadi sokoni - mahali
(ii) Nilifunza hadi jioni - wakati
maurice.mutuku answered the question on August 2, 2019 at 06:58
- Andika upya sentensi ifuatayo katika hali timilifu.
Mwanafunzi anasoma darasani(Solved)
Andika upya sentensi ifuatayo katika hali timilifu.
Mwanafunzi anasoma darasani
Date posted: August 2, 2019. Answers (1)
- “Haya basi. Beba mmoja! Beba mmoja! Dada njoo. Nafasi ya mmoja. Ni mbao tu. Bei ya
chini kuliko keki. Usiachwe, bei ni poa.”(Solved)
“Haya basi. Beba mmoja! Beba mmoja! Dada njoo. Nafasi ya mmoja. Ni mbao tu. Bei ya
chini kuliko keki. Usiachwe, bei ni poa.”
Fafanua sifa nne za sajili hii.
Date posted: August 2, 2019. Answers (1)
- Eleza maana tatu za sentensi ifuatayo
Alisema angeenda kwao(Solved)
Eleza maana tatu za sentensi ifuatayo
Alisema angeenda kwao
Date posted: August 2, 2019. Answers (1)
- Tambua miundo yoyote mitatu ya ngeli ya LI-YA(Solved)
Tambua miundo yoyote mitatu ya ngeli ya LI-YA
Date posted: August 2, 2019. Answers (1)
- Andika katika udogo wingi
Mti wa msonobari unatengeneza meza nzuri sana(Solved)
Andika katika udogo wingi
Mti wa msonobari unatengeneza meza nzuri sana
Date posted: August 2, 2019. Answers (1)
- Eleza maana ya sentensi ifuatayo
(i) Ningalisoma kwa bidii ningalipita mtihani
(ii) Ningesoma kwa bidii ningepita mtihani(Solved)
Eleza maana ya sentensi ifuatayo
(i) Ningalisoma kwa bidii ningalipita mtihani
(ii) Ningesoma kwa bidii ningepita mtihani
Date posted: August 2, 2019. Answers (1)
- Eleza matumizi ya ‘ni’ katika sentensi hii
Ingieni darasani mara moja ili niwape zoezi ambalo ni rahisi(Solved)
Eleza matumizi ya ‘ni’ katika sentensi hii
Ingieni darasani mara moja ili niwape zoezi ambalo ni rahisi
Date posted: August 2, 2019. Answers (1)
- Andika kwa usemi wa taarifa
Karani: Njoo nikutume kwa babu yangu.
Mutuma: Sitaki kupita njia ya kwa babu(Solved)
Andika kwa usemi wa taarifa
Karani: Njoo nikutume kwa babu yangu.
Mutuma: Sitaki kupita njia ya kwa babu
Date posted: August 2, 2019. Answers (1)
- Changanua sentensi ifuatayo kwa kielelezo cha mstari
Mwanafunzi mwerevu sana aliyekuwa mgonjwa jana amepelekwa nyumbani(Solved)
Changanua sentensi ifuatayo kwa kielelezo cha mstari
Mwanafunzi mwerevu sana aliyekuwa mgonjwa jana amepelekwa nyumbani
Date posted: August 2, 2019. Answers (1)
- Ainisha vishazi katika sentensi ifuatayo
Kijana aliyezungumza na nyanyake ameingia katika darasa lililochafuliwa na wanafunzi(Solved)
Ainisha vishazi katika sentensi ifuatayo
Kijana aliyezungumza na nyanyake ameingia katika darasa lililochafuliwa na wanafunzi
Date posted: August 2, 2019. Answers (1)
- Ainisha vielezi vya namna katika sentensi hii.
Mzee huyu mkongwe alicheka kijinga huku akila haraka haraka(Solved)
Ainisha vielezi vya namna katika sentensi hii.
Mzee huyu mkongwe alicheka kijinga huku akila haraka haraka
Date posted: August 2, 2019. Answers (1)
- Tambua aina mbili za sentensi ukizingatia uamilifu na utoe mfano mmoja kwa kila moja
(Solved)
Tambua aina mbili za sentensi ukizingatia uamilifu na utoe mfano mmoja kwa kila moja
Date posted: August 2, 2019. Answers (1)
- Ainisha viambishi katika neno lifuatalo
Yafutikayo(Solved)
Ainisha viambishi katika neno lifuatalo
Yafutikayo
Date posted: August 2, 2019. Answers (1)
- Andika neno lililo na muundo wa silabi ufuatao:
IKKI(Solved)
Andika neno lililo na muundo wa silabi ufuatao:
IKKI
Date posted: August 2, 2019. Answers (1)
- Fafanua sifa bainifu za sauti hizi:
/y/
/m/(Solved)
Fafanua sifa bainifu za sauti hizi:
/y/
/m/
Date posted: August 2, 2019. Answers (1)
- Kwa kutolea mifano, tofautisha kati ya ala tuli na ala sogezi.(Solved)
Kwa kutolea mifano, tofautisha kati ya ala tuli na ala sogezi.
Date posted: August 2, 2019. Answers (1)
- Ukizingatia aya tatu za mwisho, eleza dalili za ugonjwa wa utando wa ubongo na huduma kwa
mhasiriwa.(Solved)
Ugonjwa wa utando wa ubongo ambao kwa kiingereza unafahamika kama ‘meningitis’ huzua hofu
miongoni mwa watu wengi. Ugonjwa huo pia hujulikana kama homa ya uti wa mgongo.
Hofu kama hizo zinaeleweka kwa sababu utando wa ubongo ni ugonjwa unaoathiri ngozi inayofunika
ubongo na uti wa mgongo na kwa hivyo ni rahisi mno kusababisha kifo ikiwa mgonjwa hatahudumiwa
haraka iwezekanavyo.
Utando wa ubongo ni ugonjwa unaosababishwa na virusi na bacteria. Kwa mujibu wa wataalamu wa
afya, utando wa ubongo unaosababishwa na virusi sio hatari sana kwa uhai wa mtu ukilinganishwa na
bakteria. Japo watu wengi wanaougua utando wa ubongo hutibiwa na kupona, baadhi yao huachwa
wakiwa bubu au vipofu na wengine kufariki.
Shida kubwa ya ugonjwa huu ni kwamba unatokea bila kutarajiwa. Kwa mfano mtoto au mtu wa umri
mkubwa anaweza kuwa mzima kwa muda wa dakika kadha ila baadaye kuwa mgonjwa mahututi baada
ya kukumbwa na ugonjwa huo. Shida nyingine ya ugomjwa huu ni kwamba huwa vigumu kutenganisha
dalili za ugonjwa huu na dalili za magonjwa mengine ya kawaida kama vile maumivu ya kichwa. Kwa
hivyo kuna baadhi ya watu wanaomeza dawa za kupunguza maumivu ya kichwa bila kujua wanaugua
utando wa ubongo.
Dalili za watoto wanaougua utando wa ubongo ni homa, kutapika, mtoto kukataa kula na kulia kwa
uchungu. Mtoto anayeugua ugonjwa huu kadhalika huwa anaonyesha dalili za kufura kichwa, kupumua
kwa haraka na kutupatupa miguu huku mwili wake ukiwa umejikunyata. Watu walio wa umri mkubwa
nao huonyesha dalili za maumivu makali ya kichwa, na shingo nzito (stiff neck) na mgonjwa kuepukana
na mwangaza. Kadhalika mgonjwa hushikwa na homa na pia kutapika kando na kukosa ufahamu.
Utafiti umeonyesha kwamba watu walio na umri mkubwa kadhalika huonyesha dalili za kuwa na mikono
au miguu baridi, maumivu ya misuli na tumbo hasa kutokana na damu kuwa na sumu. Ni muhimu
kufahamu kwamba sio kila mtu anahisi dalili hizi. Ikiwa yeyote atashuhudia baadhi ya dalili hizi itakuwa
bora kufika hospitalini haraka kupata usaidizi wa daktari kabla ya ugonjwa huo kuzidi sana.
Yeyote anayeshuku kwamba anaugua utando wa ubongo anapaswa kupelekwa hospitalini mara moja. Hii
ni kwa sababu ni rahisi kwa daktari kutibu mgonjwa anayepelekwa hospitalini punde tu anapoonyesha
dalili ikilinganishwa na yule anayepelekwa huko kama amechelewa.
Ukizingatia aya tatu za mwisho, eleza dalili za ugonjwa wa utando wa ubongo na huduma kwa
mhasiriwa.
Date posted: August 2, 2019. Answers (1)
- Bila kubadilisha maana fupisha aya nne za mwanzo(Solved)

Bila kubadilisha maana fupisha aya nne za mwanzo
Date posted: August 2, 2019. Answers (1)
- Ni hatua zipi zinazoweza kuchukuliwa na wakenya ili kuhakikisha usalama wao?(Solved)
HABARI zisizoridhisha kuhusu shambulizi la kigaidi katika kituo cha biashara cha Westgate, Kaunti ya
Nairobi ambapo watu wapatao 67 waliaga dunia na wengine zaidi ya 175 wakaachwa na majeraha,
zinaendelea kufichuka. Magazeti yaliangazia habari kwamba mawaziri wanne pamoja na maafisa wakuu
wa usalama nchini walipashwa habari za kijasusi kuhusu mipango ya magaidi wa Al-Shabaab kutekeleza
shambulizi hilo. Inadaiwa kwamba viongozi hao hawakuchukua hatua za kuzuia shambulizi hilo.
Habari zaidi zilieleza kwamba kituo hicho kilikuwa kinafanyiwa uchunguzi na idara ya Kitaifa ya Ujasusi
(NIS) kabla ya kushambuliwa na magaidi. Imeripotiwa kwamba wachunguzaji wa ujasusi walikuwa
katika kituo hicho masaa machache kabla ya magaidi hao kufika na kuanza kuwafyatulia risasi walinda
usalama, wateja na wafanyabiashara. Inadaiwa wachunguzaji hao 'waliwasiliana' na maafisa wa polisi
wanaoshika doria mara kwa mara katika kituo hicho ambacho kimetajwa kuwa miongoni mwa maeneo
muhimu sana jijini Nairobi.
Habari hizi zote zinawapa Wakenya ujumbe mmoja; kwamba baadhi ya maafisa wakuu na idara za
serikali zilizembea katika majukumu yao ya kuwahakikishia Wakenya na wageni wote wanaozuru Kenya,
usalama. Ingawa hatupingi kwamba maafisa hao wanapaswa kuchukuliwa hatua za kinidhamu kwa
kuzembea kazini, jambo muhimu ambalo Wakenya wanataka sasa si lawama bali hakikisho kwamba
maisha yao hayapo hatarini wanapoendelea na shughuli zao za kila siku za kuijenga nchi.
Vitisho vilivyotolewa na magaidi hao ambao wamesema wanapanga kutekeleza mashambulizi mengine
ndivyo vinavyowakosesha Wakenya Usingizi. Wahenga walisema tusahau yaliyopita na tugange yajayo.
Serikali inapaswa kutumia shambulizi la Westgate kama funzo litakalozifanya idara zake za usalama
kuamka usingizini na kuhakikisha kwamba Wakenya wasio na hatia hawapotezi tena maisha yao katika
mashambulizi kama haya.
Lakini mbona Wakenya nao wasianze kuuthamini usalama wao wenyewe? Hali ya usalama nchini
itaimarika maradufu kama Wakenya wote watachakua jukumu la kuwajua vyema majirani wao na
kuripoti jambo lolote lisilo la kawaida kwa maafisa wa usalama.
Shambulizi hili lingezuiwa kama Wakenya wangekuwa na mazoea ya kutaka kuwafahamu vyema watu
wanaoishi karibu nao kwani inadaiwa kwamba magaidi hawa waliwasili nchini kitambo na kukodisha
nyumba ambako waliendeleza mipanga yao. Badala ya kuwalimbikizia lawama polisi, mbona tusishikane
nao ili kuhakikisha kwamba watu wenye nia mbaya mitaani mwetu wanakamatwa na kuchukuliwa hatua
za kisheria?
Ni hatua zipi zinazoweza kuchukuliwa na wakenya ili kuhakikisha usalama wao?
Date posted: August 2, 2019. Answers (1)
- “Tusahau yaliyopita na tugange yajayo”. Thibitisha ukweli wa usemi huu katika kuwahakikishia
wakenya usalama.(Solved)

“Tusahau yaliyopita na tugange yajayo”. Thibitisha ukweli wa usemi huu katika kuwahakikishia
wakenya usalama.