Taja matumizi yoyote mawili ya kistari kirefu

Taja matumizi yoyote mawili ya kistari kirefu

Answers

Maurice
(i) Kutoa maelezo ya ziada

(ii) Kuonyesha mabadiliko ya ghafla

(iii) Kuonyesha nani aliyesema maneno Fulani
maurice.mutuku answered the question on August 2, 2019 at 07:03

Next: Yakinisha katika hali ya mazoea. Asiyeugua hahitaji daktari
Previous: “Haya basi. Beba mmoja! Beba mmoja! Dada njoo. Nafasi ya mmoja. Ni mbao tu. Bei ya chini kuliko keki. Usiachwe, bei ni poa.” Taja sajili inayorejelewa na...

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index

Exams With Marking Schemes

Related Questions

  • Yakinisha katika hali ya mazoea. Asiyeugua hahitaji daktari(Solved)

    Yakinisha katika hali ya mazoea.

    Asiyeugua hahitaji daktari

    Date posted: August 2, 2019.  Answers (1)

  • Tumia neno ‘hadi’ kuonyesha mahali na wakati katika sentensi(Solved)

    Tumia neno ‘hadi’ kuonyesha mahali na wakati katika sentensi

    Date posted: August 2, 2019.  Answers (1)

  • Andika upya sentensi ifuatayo katika hali timilifu. Mwanafunzi anasoma darasani(Solved)

    Andika upya sentensi ifuatayo katika hali timilifu.

    Mwanafunzi anasoma darasani

    Date posted: August 2, 2019.  Answers (1)

  • “Haya basi. Beba mmoja! Beba mmoja! Dada njoo. Nafasi ya mmoja. Ni mbao tu. Bei ya chini kuliko keki. Usiachwe, bei ni poa.”(Solved)

    “Haya basi. Beba mmoja! Beba mmoja! Dada njoo. Nafasi ya mmoja. Ni mbao tu. Bei ya
    chini kuliko keki. Usiachwe, bei ni poa.”

    Fafanua sifa nne za sajili hii.

    Date posted: August 2, 2019.  Answers (1)

  • Eleza maana tatu za sentensi ifuatayo Alisema angeenda kwao(Solved)

    Eleza maana tatu za sentensi ifuatayo

    Alisema angeenda kwao

    Date posted: August 2, 2019.  Answers (1)

  • Tambua miundo yoyote mitatu ya ngeli ya LI-YA(Solved)

    Tambua miundo yoyote mitatu ya ngeli ya LI-YA

    Date posted: August 2, 2019.  Answers (1)

  • Andika katika udogo wingi Mti wa msonobari unatengeneza meza nzuri sana(Solved)

    Andika katika udogo wingi

    Mti wa msonobari unatengeneza meza nzuri sana

    Date posted: August 2, 2019.  Answers (1)

  • Eleza maana ya sentensi ifuatayo (i) Ningalisoma kwa bidii ningalipita mtihani (ii) Ningesoma kwa bidii ningepita mtihani(Solved)

    Eleza maana ya sentensi ifuatayo

    (i) Ningalisoma kwa bidii ningalipita mtihani

    (ii) Ningesoma kwa bidii ningepita mtihani

    Date posted: August 2, 2019.  Answers (1)

  • Eleza matumizi ya ‘ni’ katika sentensi hii Ingieni darasani mara moja ili niwape zoezi ambalo ni rahisi(Solved)

    Eleza matumizi ya ‘ni’ katika sentensi hii

    Ingieni darasani mara moja ili niwape zoezi ambalo ni rahisi

    Date posted: August 2, 2019.  Answers (1)

  • Andika kwa usemi wa taarifa Karani: Njoo nikutume kwa babu yangu. Mutuma: Sitaki kupita njia ya kwa babu(Solved)

    Andika kwa usemi wa taarifa

    Karani: Njoo nikutume kwa babu yangu.

    Mutuma: Sitaki kupita njia ya kwa babu

    Date posted: August 2, 2019.  Answers (1)

  • Changanua sentensi ifuatayo kwa kielelezo cha mstari Mwanafunzi mwerevu sana aliyekuwa mgonjwa jana amepelekwa nyumbani(Solved)

    Changanua sentensi ifuatayo kwa kielelezo cha mstari

    Mwanafunzi mwerevu sana aliyekuwa mgonjwa jana amepelekwa nyumbani

    Date posted: August 2, 2019.  Answers (1)

  • Ainisha vishazi katika sentensi ifuatayo Kijana aliyezungumza na nyanyake ameingia katika darasa lililochafuliwa na wanafunzi(Solved)

    Ainisha vishazi katika sentensi ifuatayo

    Kijana aliyezungumza na nyanyake ameingia katika darasa lililochafuliwa na wanafunzi

    Date posted: August 2, 2019.  Answers (1)

  • Ainisha vielezi vya namna katika sentensi hii. Mzee huyu mkongwe alicheka kijinga huku akila haraka haraka(Solved)

    Ainisha vielezi vya namna katika sentensi hii.

    Mzee huyu mkongwe alicheka kijinga huku akila haraka haraka

    Date posted: August 2, 2019.  Answers (1)

  • Tambua aina mbili za sentensi ukizingatia uamilifu na utoe mfano mmoja kwa kila moja (Solved)

    Tambua aina mbili za sentensi ukizingatia uamilifu na utoe mfano mmoja kwa kila moja

    Date posted: August 2, 2019.  Answers (1)

  • Ainisha viambishi katika neno lifuatalo Yafutikayo(Solved)

    Ainisha viambishi katika neno lifuatalo

    Yafutikayo

    Date posted: August 2, 2019.  Answers (1)

  • Andika neno lililo na muundo wa silabi ufuatao: IKKI(Solved)

    Andika neno lililo na muundo wa silabi ufuatao:

    IKKI

    Date posted: August 2, 2019.  Answers (1)

  • Fafanua sifa bainifu za sauti hizi: /y/ /m/(Solved)

    Fafanua sifa bainifu za sauti hizi:
    /y/
    /m/

    Date posted: August 2, 2019.  Answers (1)

  • Kwa kutolea mifano, tofautisha kati ya ala tuli na ala sogezi.(Solved)

    Kwa kutolea mifano, tofautisha kati ya ala tuli na ala sogezi.

    Date posted: August 2, 2019.  Answers (1)

  • Ukizingatia aya tatu za mwisho, eleza dalili za ugonjwa wa utando wa ubongo na huduma kwa mhasiriwa.(Solved)

    Ugonjwa wa utando wa ubongo ambao kwa kiingereza unafahamika kama ‘meningitis’ huzua hofu
    miongoni mwa watu wengi. Ugonjwa huo pia hujulikana kama homa ya uti wa mgongo.

    Hofu kama hizo zinaeleweka kwa sababu utando wa ubongo ni ugonjwa unaoathiri ngozi inayofunika
    ubongo na uti wa mgongo na kwa hivyo ni rahisi mno kusababisha kifo ikiwa mgonjwa hatahudumiwa
    haraka iwezekanavyo.

    Utando wa ubongo ni ugonjwa unaosababishwa na virusi na bacteria. Kwa mujibu wa wataalamu wa
    afya, utando wa ubongo unaosababishwa na virusi sio hatari sana kwa uhai wa mtu ukilinganishwa na
    bakteria. Japo watu wengi wanaougua utando wa ubongo hutibiwa na kupona, baadhi yao huachwa
    wakiwa bubu au vipofu na wengine kufariki.

    Shida kubwa ya ugonjwa huu ni kwamba unatokea bila kutarajiwa. Kwa mfano mtoto au mtu wa umri
    mkubwa anaweza kuwa mzima kwa muda wa dakika kadha ila baadaye kuwa mgonjwa mahututi baada
    ya kukumbwa na ugonjwa huo. Shida nyingine ya ugomjwa huu ni kwamba huwa vigumu kutenganisha
    dalili za ugonjwa huu na dalili za magonjwa mengine ya kawaida kama vile maumivu ya kichwa. Kwa
    hivyo kuna baadhi ya watu wanaomeza dawa za kupunguza maumivu ya kichwa bila kujua wanaugua
    utando wa ubongo.

    Dalili za watoto wanaougua utando wa ubongo ni homa, kutapika, mtoto kukataa kula na kulia kwa
    uchungu. Mtoto anayeugua ugonjwa huu kadhalika huwa anaonyesha dalili za kufura kichwa, kupumua
    kwa haraka na kutupatupa miguu huku mwili wake ukiwa umejikunyata. Watu walio wa umri mkubwa
    nao huonyesha dalili za maumivu makali ya kichwa, na shingo nzito (stiff neck) na mgonjwa kuepukana
    na mwangaza. Kadhalika mgonjwa hushikwa na homa na pia kutapika kando na kukosa ufahamu.

    Utafiti umeonyesha kwamba watu walio na umri mkubwa kadhalika huonyesha dalili za kuwa na mikono
    au miguu baridi, maumivu ya misuli na tumbo hasa kutokana na damu kuwa na sumu. Ni muhimu
    kufahamu kwamba sio kila mtu anahisi dalili hizi. Ikiwa yeyote atashuhudia baadhi ya dalili hizi itakuwa
    bora kufika hospitalini haraka kupata usaidizi wa daktari kabla ya ugonjwa huo kuzidi sana.

    Yeyote anayeshuku kwamba anaugua utando wa ubongo anapaswa kupelekwa hospitalini mara moja. Hii
    ni kwa sababu ni rahisi kwa daktari kutibu mgonjwa anayepelekwa hospitalini punde tu anapoonyesha
    dalili ikilinganishwa na yule anayepelekwa huko kama amechelewa.

    Ukizingatia aya tatu za mwisho, eleza dalili za ugonjwa wa utando wa ubongo na huduma kwa
    mhasiriwa.

    Date posted: August 2, 2019.  Answers (1)

  • Bila kubadilisha maana fupisha aya nne za mwanzo(Solved)

    Bila kubadilisha maana fupisha aya nne za mwanzo

    Date posted: August 2, 2019.  Answers (1)