Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.

“Haya basi. Beba mmoja! Beba mmoja! Dada njoo. Nafasi ya mmoja. Ni mbao tu. Bei ya chini kuliko keki. Usiachwe, bei ni poa.” Taja sajili inayorejelewa na...

      

“Haya basi. Beba mmoja! Beba mmoja! Dada njoo. Nafasi ya mmoja. Ni mbao tu. Bei ya
chini kuliko keki. Usiachwe, bei ni poa.”

Taja sajili inayorejelewa na maneno haya.

  

Answers


Maurice
Usafiri/usafiri wa matatu/usafiri wa umma/biashara ya matatu.
maurice.mutuku answered the question on August 2, 2019 at 07:14


Next: Taja matumizi yoyote mawili ya kistari kirefu
Previous: What is Strategic management?

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Learn High School English on YouTube

Related Questions