Eleza umuhimu wa semi katika jamii.

      

Eleza umuhimu wa semi katika jamii.

  

Answers


Maurice
(i) Kuonya kama vile methali

(ii) Kukuza uwezo wa kufikiri kama vile vitendawili

(iii) Kutafsidi lugha kama vile nahau ‘jifungua’ badala ya ‘zaa’


(iv) Kuburudisha

(v) Kuhifadhi siri kama vile misimu,nahau

(vi) Kuelimisha kama vile methali

(vii) Kuongeza utamu katika lugha

(viii) Kuboresha matamshi- vitanza ndimi
maurice.mutuku answered the question on August 3, 2019 at 09:08


Next: Eleza tofauti nne kati ya methali na vitendawili.
Previous: Eleza muktadha wa dondoo

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions