Eleza muktadha wa dondoo

      

RIWAYA:CHOZI LA HERI –Asumpta K. Matei

" Lakini itakuwaje historical injustice, nawe Ridhaa, hapo ulipo sicho kitovu chako?"

Eleza muktadha wa dondoo

  

Answers


Maurice
Haya ni maneno ya Ridhaa yaliyokuwa yakimpiku baada ya kumjibu Tila mawazoni. Hii ni baada ya Ridhaa kukubali maneno ya Tila ya hapo awai. Inadhihirika kuwa amekubali kuwa yeye ni mgeni, si mwenyeji.
maurice.mutuku answered the question on August 3, 2019 at 09:13


Next: Eleza umuhimu wa semi katika jamii.
Previous: Eleza tamathali mbili za lugha zilizotumika kwenye dondoo hili

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions