Eleza tamathali mbili za lugha zilizotumika kwenye dondoo hili

      

RIWAYA:CHOZI LA HERI –Asumpta K. Matei

" Lakini itakuwaje historical injustice, nawe Ridhaa, hapo ulipo sicho kitovu chako?"

Eleza tamathali mbili za lugha zilizotumika kwenye dondoo hili

  

Answers


Maurice
(i) Swali balagha- ...hapo ulipo sicho kitovu chako?

(ii) Kuchanganya ndimi- historical injustice.
maurice.mutuku answered the question on August 3, 2019 at 09:18


Next: Eleza muktadha wa dondoo
Previous: Fafanua umuhimu wa msemaji wa maneno haya

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions