Fafanua umuhimu wa msemaji wa maneno haya

      

RIWAYA:CHOZI LA HERI –Asumpta K. Matei

" Lakini itakuwaje historical injustice, nawe Ridhaa, hapo ulipo sicho kitovu chako?"

Fafanua umuhimu wa msemaji wa maneno haya

  

Answers


Maurice
Msemaji wa Maneno haya ni Ridhaa.

Umuhimu wake:

(i) Ridhaa ametumiwa na mwandishi kutuonyesha ukabila.

(ii) Ridhaa ni kielelezo cha Watu wasiobagua Watu wengine hakujali wanakijiji wenzake ni wa ukoo gani bali yeye aitetea miradi ya maendeleo ili kuwafaidi wote.

(iii) Ridhaa ametumiwa kuuonyesha udhalimu wa watakaohadithia namna majumba yake yalivyobomolewa
maurice.mutuku answered the question on August 3, 2019 at 09:25


Next: Eleza tamathali mbili za lugha zilizotumika kwenye dondoo hili
Previous: Ni mambo gani yaliyowakumba wale ambao kitovu chao si hicho?

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions